Malipo ya makosa barabarani

Malipo ya makosa barabarani

kiroroma2630

Senior Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
150
Reaction score
34
Kuna swali limekuwa likinitatiza mda mrefu sana.kuhusiana na hawa ndugu zetu askari wa usalama barabarani unapokuwa na kosa anakuandikia ni lazima ulipe hapo hapo? Sababu jana tumepata shida sana mbele ya Ubungo plaza nafikiri walitumwa hesabu coz kuna hiyo barabara ya kati kuna vijana wanazuiaga hawa wa starbag lakini jana walikuwepo na kamba waliziachia ikabidi tuhamie huko mbele jamaa wamekaa na vitabu wanaandika 60000 kama huna Acha funguo ni utaratibu kweli? Nikamwambia naingia kwenye gari nichukuwe cm zangu hawataki
 
Pole sana we dereva? Kama ndiyo hiyo faini ilikuwa ya amakosa mangapi? sharia hairuhusu police kuchukua ufunguo Wa gari ukishaandikiwa adhabu unatakiwa ukalipie siyo lazima hapo walipo wao
 
Ndio mimi dereva alitaka lesen nikamwambia nimesahau nyumbani kosa lilikuwa kupita hy njia ya kati wakidai ujenzi unaendelea sasa najiuliza fain ndio iwe 60000?
 
ulishaisoma Motor Vehicle and Road Traffic act ya mwaka 2003?. Mimi naiona kama walikopi na ku paste kutoka nchi Fulani maana hata hizo fine walizoandika kule ni in terms of Dollars hadi hiyo act inauzwa kwa dollars. wanasheria tupeni ufafanuzi kama mlishaisoma hii act maana inawa favour sana police no way wakiamua kukufungia kazi utakua huna hatia.

Hao manesi wanatumwa hesabu kwa siku na usipofikisha anahamishwa kitengo. Siku hizi ni kero. Kosa moja ni elfu 30 so hapo walikupiga mkuu.
 
Back
Top Bottom