Malipo ya likizo

Malipo ya likizo

Magari damu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
443
Reaction score
778
Habari ndugu zangu
Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku moja.
Sasa imetokea nimeresign, ila HR anasema siwezi kulipwa hio hela ya likizo kwa sababu mkataba ni wa mwaka mmoja na sijafikisha mwaka huo mmoja kama inavosoma kwenye mkataba.

Kulingana na Section 40(f) of the Employment and Labour Relations Act of 2004, an employer is legally required to pay any remuneration due upon termination of employment, including any earned but unused annual leave.

Je, niko elligible kuendelea kudai haki yangu? Naombeni msaada wa mawazo.
Asanteni
 
Ulitakiwa uombe likizo kabla ya kuresign.
 
Kwenye mkataba wako uliambiwa ukifanya kazi miezi 8 utalipwa likizo? Hata serikali haina utaratibu huo wa kufanya miezi 8 ulipwe likizo
 
Baada ya miezi nane serikalini una sifa za kuomba likizo na inategemea na shirika kuhusu kulipwa au kutokulipwa, taasisi zingine zinalipa kila likizo na nyingine malipo ni mara moja kila baada ya miaka miwili.

Ila case ya jamaa hapo hajaomba likizo. Ameacha kazi kisha anataka ku-claim pesa za likizo ambayo hajaomba
 
Mkataba wa mwaka mmoja, ume resign mwenyewe kabla ya mkataba huwezi kulipwa hela ya likizo tena baadhi ya mikataba ilitakiwa wewe uilipe kampuni.

Kama kampuni ingekatisha mkataba ingetakiwa kukulilpa kiasi cha pesa pamoja na hela ya likizo.
 
Habari ndugu zangu
Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku moja.
Sasa imetokea nimeresign, ila HR anasema siwezi kulipwa hio hela ya likizo kwa sababu mkataba ni wa mwaka mmoja na sijafikisha mwaka huo mmoja kama inavosoma kwenye mkataba.

Kulingana na Section 40(f) of the Employment and Labour Relations Act of 2004, an employer is legally required to pay any remuneration due upon termination of employment, including any earned but unused annual leave.

Je, niko elligible kuendelea kudai haki yangu? Naombeni msaada wa mawazo.
Asanteni
Kwa mwaka unapata likizo mara moja.

Kama hujafanya kazi mwaka mzima maana yake huna sifa ya likizo.
 
Sijui sheria lakini kwavile ulikuwa huna mwaka huwezi lipwa..

Naona wana apply mfumo kama wa sick leave, annual leave, n.k n.k
 
Back
Top Bottom