Wote tunalipa kwa dola. Unapofika pale unaambiwa rate ya dola kwa siku hiyo ndio unatoa hayo madafu yako. Kwa nini serikali yetu imeshindwa kuwadhibiti hawa jamaa? Mbona kwenye mitandao ya simu imeweza? Mbaya zaidi ni kuwa hata usipofungua king'amuzi siku hiyo pesa bado inatafunwa tu. Anguko la shilingi yetu linachangiwa na mambo kama haya pia.Kwanza unatakiwa ujue sio wote wanaolipia kwa dola, pili kwa wanaoangalia majumbani au wanaoonyesha bila kiingilio wanalipa 120,000/: na wanaotoza kiingilio wanalipia 180,000 kwa mwezi. Kama unataka risiti njoo nikuonyeshe.
Star Times wao wanacheka tu, hamna lolote la maana Tv ya Taifa inashindwa kuonesha hata AFCON hii ni aibu sana. Dawa yao hawa DSTV ni kuwachakachua tu.
Duh, hiyo bei ni ya kweli kaka??Inategemea na sura yako......ukija kibosibosi bei inapanda.......lakini ni kama Tshs 100,000 hivi....ni PM nikupatie mmoja ila usije kumkamata tu.....manake watu wengine wanoko kwelikweli
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji! Hawaoni kwamba tunawafanyia Kazi wao, ama kweli kaburu ni kaburu hata ukimpaka rangi habadiliki. Wadau nauliza hakuna mamlaka inayoweza kuzibiti unyonyaji huu?. Nawasilisha.
Inategemea na sura yako......ukija kibosibosi bei inapanda.......lakini ni kama Tshs 100,000 hivi....ni PM nikupatie mmoja ila usije kumkamata tu.....manake watu wengine wanoko kwelikweli
bora wamekuja Zuku TV inaweza ikaleta mabadiliko.
DSTV wanajiamini hakuna zaidi yao ndio sababu wanaamua kuweka kiwango cha malipo wanachotaka wao, dawa yao ni kuwachakachua tu, unalipa ela kidogo unajilipua mwaka mzima, shida hakuna.
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji! Hawaoni kwamba tunawafanyia Kazi wao, ama kweli kaburu ni kaburu hata ukimpaka rangi habadiliki. Wadau nauliza hakuna mamlaka inayoweza kuzibiti unyonyaji huu?. Nawasilisha.
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji! Hawaoni kwamba tunawafanyia Kazi wao, ama kweli kaburu ni kaburu hata ukimpaka rangi habadiliki. Wadau nauliza hakuna mamlaka inayoweza kuzibiti unyonyaji huu?. Nawasilisha.
Si lazima kulipia ndugu......
watch out!!!!!!!!!Si lazima kungalia pia.........