Mkuu unatakiwa uwe unahudhuria vikao vya kila mwaka vya hayo makampuni ulikowekeza(AGM) ...
Kuwekeza kwenye makampuni ni sawa sawa na kuwekeza kwenye kilimo, untayarisha shamba, unalima na kupanda mbegu.
Lakini unatakiwa kufuatilia shamba lako kwa umakini ili uhakikishe unapata mavuno yenye faida au hasara, matokeo yatakayoamua hatma ya uwekezaji wako siku za usoni.