Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,374
- 848
Wadau nategemea kuwekea sakafu tiles,sasa changamoto ni malipo ya fundi mweka tiles,maana kuna fundi ambaye alifanya shughuli nyingine za ujenzi ananiambia kuwa square mita ni sh. 9000.
Mafundi wengi ni madalali anauza kazi kwa mwingine naye ale chake.
Naomba kwa wenye uzoefu ni sh. ngapi kwa square mita
Mafundi wengi ni madalali anauza kazi kwa mwingine naye ale chake.
Naomba kwa wenye uzoefu ni sh. ngapi kwa square mita