andromena
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 587
- 670
Ndugu yangu nashukuru kwa hili jibu lako,ila nilitaka kufahamu zaidi kwa wale ambao walishafungua madai maana mimi yangu nilitarajia ningelipwa ndani ya mwezi lakini sasa nimeambiwa miezi mitatu.Je kuna mtu humu ambaye alishafanikiwa kufungua na kulipwa ndani ya huo mwezi mmoja?
Nimewahi pewa ndani ya mwezi mmja, tho niliambiwa ni baada ya siku 90..... Nilipigiwa tu simu nikaambiwa check tayar bila usumbufu. Ila ilikua ni mwaka 2016
Naweza sema si wasumbufu nssf nimefanikiwa pata changu mara mbili bila shida. Labda shida ianze hapo kwenye hio sheria inayosubiriwa ndo isababishe usumbufu