Malipo ni hapahapa duniani

Duwa la kuku halimpatagi mwewe kaa ukijua
 
miaka 5 na mimba mnatoa mkiwa mahawara... shame on you!
 
Malipo ni hapahapa duniani akhera kuhesabiwa... wote wake kwa waume laana nyingine tunajitafutiaga tu za ziada... kwanini umtende mwenzako vibaya???
Faida yako ninini?
 
Biblia imeandika , enyi waume, ishini na wake zenu kwa akili, haikukosea hakuna viumbe walu walu kama wanawake yaani kwanza hawana mapenzi ya kweli kabisa , kwani hata leo katika wanawake 100 walio na wapenzi wao utakuta 2 au 3 ndio wapo kwenye uhusiano/ndoa kwa upendo toka moyoni, lakini walio bako wote wapo kwenye uhusiano/ndoa kwa ajili mwanaume anakitu vulani , na hapo hapo anakuwa na mchepuko wake anao upenda anakula naye urodaa,
 
Asante kwa maoni yako mazurii.
 
Hao wanawake unaowaongelea siyo hawa wa leo hawa Mimba wanatoa wenyewe na kibuti wanakupa
Hawataki uwagande
Thats business mkuu!
Kweli kabisa mkuu, katoa mimba zangu mbili japo kwa ushawishi wangu mwisho wa siku mi ndio nimekula kibuti. Hapo wa kulaumiwa nani? Kwanza mimi ndio namlaani kila siku, I had my future in her kaniharibia mipango yangu. Mshenzi sana Winnie
 
Hahaha. Sasa umemtoa mimba mbili. Asubiri atolewe ya tatu? Ungeoa sasa mzae...c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…