Malipo ni hapa Duniani Ndege ya Antonov 225 Vs Moskva Warship

Wengi umu wanaushabiki wa kijinga mkuu mtu mwenye akili timamu awezi shabikia Urusi kwa ujinga anao fanya ni uonevu wakijinga

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
SLAVA UKRAINI SLAVA UKRAINI
JamiiForums-1142540770.jpg
 
Hakuna Bias hapo,ni uelewawako tu wewe,yeye amekemea mauaji ya raia yanayofanyika hapo Ukraine,issue za Iraq,Syria na kwingine hakuna sehemu amesema walikuwa sawa kuuawa,alichokemea ni mauaji which is okey.
Vitga zote za kivamizi zilizoanzisha na hawa manchi makubwa ni vita mbaya kila binadamu mwenye akili timamu lazima akemee Israel,US,UK,RUSSIA wote hawa ninawaweka mwenye kundi moja la nchi vamizi na zinatakiwa kupingwa kwa nguvu zote na kila binadamu.
Sasa humu kumejaa wafafki wengi tu,wanajifanya wanapinga udhalimu wa Israel,USA,UK hapo hapo wana support Russia kuvamia na kuua watu Ukraine.
Mtu anayepingwa Israel kuua wapalestina,hapo hapo huyo huyo mtu ana support Russia kuua watu Ukraine,namuona hajielewi hata anasimamia nini,na ndio wengi wamejaa humu.
Mimi nipo upande wa mnyonge Ukraine,maana wana sababu ya kujilinda na kutetea ardhi yao,siwezi kui support Urusi kwa uvamizi wake kwenye nchi huru Ukraine,Na hata leo USA wakiamua kuivamia lets say Iran,mimi nitakuwa upande waIran kwa sababu wanapinga uvamizi kama ilivyo nchi yoyote huru.
Consistance is the key,kitu ambacho wengi humu wamekosa.
Pigeni hizi kelele pale Palestina, Pale syria maana raia zinakufa kila siku au kuna watu ni more humans than others?
 
Hii vita ya urusi na ukrein ni vita ya piga ni kupige. Bwana mdogo kaamua kumdindishia mzee mzima na mzee mzima anaona akiishia njiani ataonekana kumbe ni yeye.

Ni mdebwedo sasa ni kutoana makamasi mwazo mwisho .Lakini ninacho kiiona hapa mahesabu ya mzee baba yalikuwa sio kupigana kwa mda mrefu hivi maana vita ni gharama lakini ndiyo hivyo tena maji ukiyavulia nguo sharti uyaooge unajua ukiwa ni bausa na watu wanakuamini mtaani kwamba unajua kuuchapa mkono alafu unapigana na kajamaa kakawaida alafu kamedindisha ile mbaya anabidi utumie hata mawe isije kuwa nishai ndio urusi anacho fanya ukrein that is not convetional war .

Urusi atafanya kila namna ashinde hii vita maana bila hivyo ni aibu kubwa kwake na ikijulikana kwamba yeye ni mfanya biashara wa silaha duniani iwe baridi jua mvua lazima kiileweke ingawa inacost
Duh! Inasikitisha sana bro. yaani, hivi huyu njemba anasambaratisha kila kitu Ukraine halafu sijui akishinda hiyo vita atatawala nini? Mbona naona kama ni vita ya kiuendawazimu????!!
 
SLAVA UKRAINI SLAVA UKRAINI View attachment 2191768
Hiki ndicho nachojaribu kuwambia hawa watu.
Hizi kelele wapige kwa kiasi kile kile hata huko kwingine.
Yani mimi nashangaa, uovu wa marekani kwa watu wengi ni kama sio uovu ni kwamba anafanya jambo ambalo ni sawa tu yani utakuta watu wanajustify anachofanya.
Sema watu hawasomi historia. US ilichokifanya North Korea, yani ni kitu kibaya sana hadi wao wanakili walifanya uhalifu mkubwa. Lakini ni habari ambayo haipewi kipaumbele, utasikia hitler, utaskia Mussolin, utaskia Putin
 
Duh! Inasikitisha sana bro. yaani, hivi huyu njemba anasambaratisha kila kitu Ukraine halafu sijui akishinda hiyo vita atatawala nini? Mbona naona kama ni vita ya kiuendawazimu????!!
Kwani USA alivyoipiga mabomu North Korea akahakikisha hakuna jengo linalobaki limesimama malengo yake ilikua Ni amtawale Nani?
 
Kwani USA alivyoipiga mabomu North Korea akahakikisha hakuna jengo linalobaki limesimama malengo yake ilikua Ni amtawale Nani?
Hiyo ilikuwa kitu tofauti. US hakuwa na madai ya Ardhi bali ilikuwa ni kumshikisha Adabu Mkorea juu ya Siasa zake. Na alipomaliza lengo lake alirudi nyumbani.
Kwa Mrusi na Ukraine hawa ni majirani na Mrusi anadai Maeneo (Kama ni sahihi) yaliyo Ukraine ni maeneo ya Russia.
 
Hii vita ukiijadiri kwa kuanzia juzi tu ....russia kaivamia ukraine... utakuwa umeushughulisha ubongo chini ya kiwango.
Tukumbuke hizi nchi kubwa usalama wao ni jambo la msingi. Kama nchi za kiafrica na kupambana na njaa na umaskini! Dunia ni moja lakin kuna giants. Hii sio vita kama ya Tanzania na Uganda kugombania mipaka. Kwa hawa giants suala la usalama wa kisiasa na kiuchumi ni pamoja na nje ya mipaka yake! Marekan anataka abak peke yake kama giant wa dunia. Hata wa chini a.k.a quasi countries hatutakuwa salama USA akifanikiwa hilo.
Tujifunze kanuni za kuheshim makubaliano.
USA/NATO na Ukraine kama chochoro la USA wamekiuka makubaliano kwa maslahi yao.
Nataman tuwe na dunia ambapo hakuna giant mmoja tu asiyedhibitika!
....BALANCE OF POWER FOR PEACE AND HARMONY!
 
Hii vita ukiijadiri kwa kuanzia juzi tu ....russia kaivamia ukraine... utakuwa umeushughulisha ubongo chini ya kiwango.
Tukumbuke hizi nchi kubwa usalama wao ni jambo la msingi. Kama nchi za kiafrica na kupambana na njaa na umaskini! Dunia ni moja lakin kuna giants. Hii sio vita kama ya Tanzania na Uganda kugombania mipaka. Kwa hawa giants suala la usalama wa kisiasa na kiuchumi ni pamoja na nje ya mipaka yake! Marekan anataka abak peke yake kama giant wa dunia. Hata wa chini a.k.a quasi countries hatutakuwa salama USA akifanikiwa hilo.
Tujifunze kanuni za kuheshim makubaliano.
USA/NATO na Ukraine kama chochoro la USA wamekiuka makubaliano kwa maslahi yao.
Nataman tuwe na dunia ambapo hakuna giant mmoja tu asiyedhibitika!
....BALANCE OF POWER FOR PEACE AND HARMONY!
ameeeeeeeeen nakuunga mkono mkuu wangu.
Na ili hili swala liwezekane lina anzia hapa jukwaani lazima warussia wa Tandahimba tuwashinde wamarekani wa kwa mparange🧐🧐🧐, na ninaona tumeweza kuwanyamazisha kwa kishindo tangia tuanze operation yetu huko Eastern Ukraine, this time around wamarekani weusi muandae mparange.😆😆😆😆
 
Pentagon wanasema Moskva ilipigwa na two Neptune ant ship missile kutoka Ukraine.
Hii meli ndio ilikuwa key ya mashmbulizi na air defense kutoka black sea fleet kwenda Ukraine.
Wa Ukraine wanshambulia pale wanapopata mwanya maana wanajua wako limited kwenye arm supply,.Kupigana na Mrusi inahitaji akili na utulivu,ndio kitu Ukraine anafanya.Hii ni Meli ya pili kuzamishwa.ile ya kwanza ilikuwa na mizigo,hii ni ya kijeshi tena heavily armed ship.
haya tuendelee kutaama tutaona mengi.
Ile haikuzama sema iliharibiwa.
 
Ajabu sana kwa binadamu wa kawaida kushangilia upuuzi na hii nonsense war aliyoitaka Putin kwa hiyo hizo hapo ni Kambi za Jeshi au makazi ya watu kwa hiyo kilichompeleka Ukraine ni Kupiga mabomu makazi ya watu.

Ukienda mbali sana Putin sio binadamu wa kawaida either anahitaji sala sana na maombi haiwezekani binadamu wa kawaida unashuhudia watoto&wajawazito&bucha massacres halafu bado unacheka.

Mbona wengine hata kuchinja kuku tunaogopa.
Unaogopa pekeako
Acha wapigwe tena waswagwe kweli kweli
Yaani mnamuona PUT IN mbaya ila hamuwaoni kina BIDEN wanaopeleka silaha badala ya kutafta suluhu kwamba nawao nimashetani
Acha wapigwe tena wanapigwa kidogo inatakiwa watwangwe na silaha zile kali kali ili somo lieleweke haraka
GO PUT IN GOOOOOOOOO
 
Muache kuwa biased, hata wale Wairaq, Syria, Libya, Palestina nao ni watu. Hizi kelele zipigwe sawa sawa nao wanapokuwa wanauawa.
Hao mnaowashabikia, wameua mamilion ya watu kwa kigezo cha demokrasia tena hawakuanza leo. Wamefanya hivyo Vietnam, Nicaragua, North Korea, US alipiga mabom North Korea akaharibu kila kitu si majengo wala miundombinu iliyobaki salama. Inakadiriwa walikufa watu 1.2 mpaka 1.5 milioni ambao walikuwa asilimia 12-15 ya raia wote kwa mabomu ya US aliyokuwa anayamwaga pale kama mvua kwa miaka. Alikuwa anaoiga kila jengo na kila anachoona kitambaa juu ya ardhi. Alipoona miundombinu na majengo yameisha akaenda piga bwawa la umeme na mifereji kwa ajili kilimo akaharibu mazao ili oia waliobaki nao wafe kwa njaa. Ni vile tu history is twisted. Hata wao US wanakubali walichofanya pale kilipitiliza.
Yani kelele zenu ni kama vile kuna watu are more humans than others.
Kuawa raia siyo jambo zuri ila kelele hizi mzipige pia pale US na hao wengine wakiwa wanavamia na kuua pia.
Acha tuambatanishe na kapicha ili maelezo yako yawe na nguvu zaidi
Jamaa acha wapigwe tu tena wanyooshwe kweli kweli wakijificha hospital piga wakijificha makanisani peleka moto wakijificha mashuleni zibua humo humo
Jamaa kila watakapo jificha wapigwe tena wapigwe haswaaaaa!!!!!
JamiiForums706257093.jpg
 
Back
Top Bottom