Habari wana JF! Nimesikia kuwa ukisharipoti Halmashauri unarejeshewa gharama zote za usafiri kutoka kwako hadi Halmashauri.
SWALI LANGU: Ikiwa nimetumia usafiri wa gharama kubwa kama ndege ,nitarejeshewa pesa ya nauli niotumia au?
NOTE: tuna_assume kuna njia zingine za usafiri wa bei rahisi kama basi.
Mambo ya wenzake kutokuwa na ajira haihusiani na yeye kutolopwa stahiki zakeAcha mbwembwe kapige kazi
Kumbuka wenzako wa hkl hawajui hata kesho yao
Kuna mitumbwi Mkuu tena yenye matanga/mashuka. Mashua na engine boat. Au serikali haitambui hilo?Kama umetoka wilaya yaMafya unalipwa nauli ya ndege maan kule wanahesabiwa hawana usafiri mwingine zaidi ya ndege
Nani kasema hatolipwa stahiki zake ???....hizo mbwembwe tuMambo ya wenzake kutokuwa na ajira haihusiani na yeye kutolopwa stahiki zake
Usafiri unaotambulika kwa Mafya ni ndege tu ndio maan tunaotok Mafya nauli zetu ni kubwa kuliko wengine woteKuna mitumbwi Mkuu tena yenye matanga/mashuka. Mashua na engine boat. Au serikali haitambui hilo?