Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,711
- 1,738
Tumeona nchi hii pana watu (wazawa) wenye moyo wa kusaidia jamii.
Mfano ni huyu mheshimiwa James Rugemalila aliyeamua kugawa Escrow zake kwa marafiki zake wenye matatizo mbalimbali.
Kama Jamal Malinzi, rais wa TFF, angekuwa na uhusiano na huyu jamaa angepewa Escrow za kutosha kwa ajili ya shuguri za utendaji za TFF.