Malinzi amemfungisha vilago kocha wa timu ya Taifa

Malinzi amemfungisha vilago kocha wa timu ya Taifa

Maximo alikuwa hajulikani nafikiri kufundisha Tanzania kulimfanya ajulikane na wanasema mshahara wake ulikuwa 10m na JK ndio alikuwa anamlipa,Di Canio alikuwa mchezaji mkubwa na amefundidha timu England.Makocha wengi wanaofundisha África ni kutoka Ulaya Mashariki(Croatia,Serbia,Yugoslavia etc) hawa ni cheap na wavumilivu sana

Tuking'ang'ania cheap basi mkuu tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu au mwendaa. Na tusilalamike
 
Naomba niwasaidie tu. Kocha mzuri mwenye jina zuri, mshahara wake inakuwa kama kuanzia $50,000 kwa mwezi. Na kama ni kocha kijana na anataka kutengeneza jina Ulaya, kwanini aje nchi kama Tanzania? Ndio maana unaona nchi kama za West Africa huwa wanachukua kocha kwa muda mfupi kama wakiingia World Cup (ref. Sven G. E pale Ivory Coast).

Mara nyingi kocha kuja Africa, CV yako inakuwa kama imekurudisha nyuma, unless unafundisha mataifa makubwa. Kama Tanzania wanapata kocha mwenye jina kubwa, basi ukute na serikali ya nje inakuwa kama inatoa msaada wa kimichezo (yaani wanasaidia kulipa mshahara). Otherwise ni vigumu kujustify kumlipa kocha hela ndefu wakati hata misingi ya kutoa wachezaji vijana ni mibovu.
 
Zambia wameweza
 
Anataka kuleta kocha toka bukoba..michezaji ya tz haifundishiki hata aje nani hawatafika kokote
 
mtu amecheza soka bila kocha mpaka anafikisha miaka20 halafu unategemea aje amuelewe kocha hapo lazima awe mbishi tu angalia historia za wachezaji wote wakubwa wengi wamepitia academy ndio maana wameng'ara
 
Hapa ni kutafuta kocha mwenye uwezo na records si lazima iwe ulaya wapo makocha kibao walioziongoza vema timu za Africa kwa mfano kocha aliyeipa ubingwa Zambia pia kuna watu kama kina Steven Keshi Samson Siasia, ata yule kocha wa ghana pia tulipanue benchi la ufundi na kuimalisha kurugenzi ya ufundi mtu kama madadi hana jipya kwenye kurugenzi ya ufundi tuwape nafasi watu kama Juma Mwambusi Ali Bushili Peter Manyika.
 
Tuking'ang'ania cheap basi mkuu tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu au mwendaa. Na tusilalamike

Hata ukimleta Di Canio still hawezi badilisha lolote kwa hawa wachezaji wetu
 
Dah...hakuna kitu inayoniumiza kama timu ya taifa inaposhindwa....kusema ukweli mimi simlaumu kocha bali nawalaumu wachezaji amabo wao ndo wanaocheza ndani, mara nyingi nimeona wachezaji wakicheza bila hata ya utaifa tena wakijivuta sana uwanjani...ni pale hata tunapomlaumu moyes...hali wanaicheza ni wachezaji tungepata watu au wachezaji wa taifa hili wenye staha na uzalendo kwanini kwanini tusifike??
bado sijaona hata mchezaji mmoja mwenye staa ya uzalendo katika timu ya taifa...hata mmoja....ko sitaahangaa hata timu nzima ikivunjwa na kuleta vijana walionadamu changa....
Lakini Jamali Malinzi kama upo hapo kwa maslai yako ehhhhhhh......
kama utafanya hivyo kwa maslai ya taifa si mbaya....just go on and do it.
 
Hapa ni kutafuta kocha mwenye uwezo na records si lazima iwe ulaya wapo makocha kibao walioziongoza vema timu za Africa kwa mfano kocha aliyeipa ubingwa Zambia pia kuna watu kama kina Steven Keshi Samson Siasia, ata yule kocha wa ghana pia tulipanue benchi la ufundi na kuimalisha kurugenzi ya ufundi mtu kama madadi hana jipya kwenye kurugenzi ya ufundi tuwape nafasi watu kama Juma Mwambusi Ali Bushili Peter Manyika.

kaka unaona mbali sana kwa kweli juma mwambusi ni mmoja kati ya makocha walio ijenga timu ikacheza kitimu zaidi...na ndivyo tunataka taifa starz ya aina hiyo...
 
Zambia wameweza

Zambia wameweka foundation kwenye soka la watoto na vijana....Sina imani na Jamal Malinzi anaonekana mwanasiasa tu...Tenga was a perfect man for Tanzanian Football...alitakiwa kupata washauri makini tu........Kumfukuza kocha wala haisaidii...Kumbuka Paulsen huyu ndiye aliyetengeneza vijana wengi ambao sasa ndio tegemeo kwenye timu ya taifa;

Kapombe
Singano
Canongo
Edward Chris na wengine wengi....wote ni mazao yake
 
Last edited by a moderator:
Hata ukimleta Di Canio still hawezi badilisha lolote kwa hawa wachezaji wetu

Unayo point sana mkuu...PROFESIONALISM ni tatizo....hawana weledi....Na mpira unataka weledi na nidhamu......
 
Jamal malinzi amemwambia kocha wa timu ya Taifa aondoke. Amemwambia afungashe vilago sababu hajafikimiza malengo kama mkataba wake unavyo eleza. Malinzi ameamua kuingia gharama ya kumlipa hela ya kuvunja mkataba wake.

My take;Huyu Jamal Malinzi atainua soka la Tanzania sababu anaonekana anauchungu na Nchi yake.

Big up malinzi

kwa Tanzania tutabadilisha sana makocha,tutatumia sana ndumba na hatutafika popote pale kama tu hatutataka kuwekeza ktk soka hususani soka la vijana,miaka ya nyuma tuliweza angarau kuonyesha kuwa soka lipo,hii ilikuwa kwa sababu michezo mashuleni ilipamba moto,kwa sasa kila kitu kimelala,tunategemea timu ya Taifa itoke ktk timu za simba na yanga tukidhani kuwa majina ndio yachezayo.
Soka kiukweli halihitaji maneno mengi na kelele,soka halina blah blah,soka halihitaji ujanja ujanja tuliouzoea hapa Tanzania,soka linahitaji kujitoa na kuwekeza zaidi kwa vijana.
Tutabadilisha sana makocha,lakini hatutafika kule tutakako.
nasikia eti tunamtaka kocha aliyeifikisha timu ya taifa ktk mashindano ya afrika,hata tukiletewa mzee wenga kama hatutaki kuwekeza ktk soka ni kujidanganya tu
 
Jamal malinzi amemwambia kocha wa timu ya Taifa aondoke. Amemwambia afungashe vilago sababu hajafikimiza malengo kama mkataba wake unavyo eleza. Malinzi ameamua kuingia gharama ya kumlipa hela ya kuvunja mkataba wake.

My take;Huyu Jamal Malinzi atainua soka la Tanzania sababu anaonekana anauchungu na Nchi yake.

Big up malinzi

Upuuzi tu mkataba unaisha May!? kama sikosei kuna haja gani ya kuingia gharama za kuvunja mkataba leo? Hata kama ana lengo zuri papara hazifai.
 
Uamuzi wa malinzi ni wa kukurupuka sana na anaanza kututia wasiwasi juu ya utendaji wake kuvunja mkataba alafu unasema ww unaingia gharama za kumlipa toka mfukoni kwako na wadau nn maana yake??

Umewahi sana kaka malinzi ungeanza na utaratibu wa kila timu inayoshiriki vpl wawe kwanza na viwanja vyao vya uhakika pili viwe na academy zao za mpira hilo linawezekana kabla ya kuanza kuonyesha ufahari wa kuvunja mikataba na kujitapa kwamba utalipa gharama za milion 160 ww na wadau tafsiri ya haraka hapa n kuwa tff unaiweka mfukoni.

Kaka malinzi hii n taasis c club kama simba na yanga au coast kuwa unaweza kutoa hela yako alafu ukawaeleza wanachama wakakuelewa jitafakari sana.

Ikiwa unaanza kwa mtindo huu wa kuilipia tff kwa pesa zako za mfukoni na wadau wako cjui wangapi inamaana hutataka kuhojiwa kwa lolote pale kutakapokuwa na ubadilifu.

Nani anayeweza kumuuliza bakhresa kama azam fc imetumia hela zaidi ya bajeti hakuna sasa hiki ndicho unataka kutuletea kwenye taasis kubwa kama hii.

Kaka jitahidi ucturudishe kwenye FA ya akina ndolanga na rage tumetoka huko tunataka kwenda mbele

Kweli kama mkataba wa kim haukufikiwa kwenye malengo n vizuri ila hamkujipanga mmekurupuka sana na n aibu sana kwa soka letu
 
Tutatimua makocha mpaka tumwite Jose Mourinho. Team haiundwi na makocha isipokuwa na Academic, angalia Team ambazo zimeendelea zote zimeanza kusuka wachezaji tangu wakiwa watoto ndo maana ni rahisi kukuta video za Messi, Ronaldinho n.k ukakuta mpaka kanda zao za utotoni. Kutimua makocha mimi naona ni ujinga wa hali ya juu. Mimi naona Viongozi na timu hasa Tanzania huwa zinatimua makocha ili kujitangaza tuu kama Wanavyofanya Simba na Yanga. Kwa Team ya Taifa na Style hii ya kubadilisha makocha tukidhani ni suluhisho mimi naona tunasafari ndefu sana.

Sasa kama hajatimiza malengo aliyowekea wewe unategemea nini ? Its a result business ukishindwa kila ulichotoa ahadi unaondoka na kumuachia anayeona anaweza, ingawa kuimarisha grassroots nayo ni lazima kuifanya as well as kutimua wale wasiotimiza malengo
 
Kweli jamaa aondoke ameshindwa hata kutufikisha CHAN

kwa wachezaji hawa walikwisha komaa misuri? hivi umeona timu za ghana na nigeria,wachezaji wengi ni vijana na umeona soka walilocheza,si umeona zimbambwe na zambia? kuna mzee pale,sisi kama hatutawekeza ktk soka la vijana,hata akija mungu kuwa kocha timu haiwezi kwenda popote pale
 
Uamuzi wa malinzi ni wa kukurupuka sana na anaanza kututia wasiwasi juu ya utendaji wake kuvunja mkataba alafu unasema ww unaingia gharama za kumlipa toka mfukoni kwako na wadau nn maana yake??

Umewahi sana kaka malinzi ungeanza na utaratibu wa kila timu inayoshiriki vpl wawe kwanza na viwanja vyao vya uhakika pili viwe na academy zao za mpira hilo linawezekana kabla ya kuanza kuonyesha ufahari wa kuvunja mikataba na kujitapa kwamba utalipa gharama za milion 160 ww na wadau tafsiri ya haraka hapa n kuwa tff unaiweka mfukoni.

Kaka malinzi hii n taasis c club kama simba na yanga au coast kuwa unaweza kutoa hela yako alafu ukawaeleza wanachama wakakuelewa jitafakari sana.

Ikiwa unaanza kwa mtindo huu wa kuilipia tff kwa pesa zako za mfukoni na wadau wako cjui wangapi inamaana hutataka kuhojiwa kwa lolote pale kutakapokuwa na ubadilifu.

Nani anayeweza kumuuliza bakhresa kama azam fc imetumia hela zaidi ya bajeti hakuna sasa hiki ndicho unataka kutuletea kwenye taasis kubwa kama hii.

Kaka jitahidi ucturudishe kwenye FA ya akina ndolanga na rage tumetoka huko tunataka kwenda mbele

Kweli kama mkataba wa kim haukufikiwa kwenye malengo n vizuri ila hamkujipanga mmekurupuka sana na n aibu sana kwa soka letu

Malinzi ovyo sana..!
 
Ni kweli kabisa tatizo viongozi wetu wa soka hawawasikilizi makocha wa kigeni na mipango yao wao wanataka big results now ...mNAMKUMBUKA POPADIC ALIKUA KOCHA WA SIMBA ILE ANATIMULIWA TU NA SIMBA AKAITWA KWENYE BENCHI LA UFUNDI LA BAYERN MUNICH ...NDO TULIPOJUA THAMANI YAKE ..!!! NAE AMETIMULIWA TU AMEPATA SHAVU FIFA NDO TUNAPOONEKANA SISI VILAZA
 
Back
Top Bottom