Malinzi amemfungisha vilago kocha wa timu ya Taifa

Malinzi amemfungisha vilago kocha wa timu ya Taifa

Ni kweli kabisa tatizo viongozi wetu wa soka hawawasikilizi makocha wa kigeni na mipango yao wao wanataka big results now ...mNAMKUMBUKA POPADIC ALIKUA KOCHA WA SIMBA ILE ANATIMULIWA TU NA SIMBA AKAITWA KWENYE BENCHI LA UFUNDI LA BAYERN MUNICH ...NDO TULIPOJUA THAMANI YAKE ..!!! NAE AMETIMULIWA TU AMEPATA SHAVU FIFA NDO TUNAPOONEKANA SISI VILAZA

Popadic was really good
 
..mNAMKUMBUKA POPADIC ALIKUA KOCHA WA SIMBA ILE ANATIMULIWA TU NA SIMBA AKAITWA KWENYE BENCHI LA UFUNDI LA BAYERN MUNICH ...NDO TULIPOJUA THAMANI YAKE ..!!! NAE AMETIMULIWA TU AMEPATA SHAVU FIFA NDO TUNAPOONEKANA SISI VILAZA


Mmmh!!

Nahisi kama umechanganya, Burkhard Pape ndiye aliyetimuliwa Stars na baadaye akateuliwa kuwa mmoja wa washauri wa ufundi kama sio Bayern basi timu ya Taifa ya Ujerumani.

Alikuwa ni mzee mmoja wa Kijerumani hivi mwenye falsafa zile za mpira wa kizamani.

Dragan Popadic ni Mserbia na alipoondoka Simba nadhani alifundisha vilabu vingine vya hapa Afrika kama Express, Petro Atletico, Hearts of Oak...aliwafunza pia Amavubi nk
 
Sio siri pamoja na kuwa niliupenda moyo wa Kim kwa kuipenda kazi yake lakini hakuna lengo hata moja alilofanikiwa kulifikia pamoja na support yote aliyopewa...

Nahisi ujio wa kocha mpya ni utimizaji wa malengo ya muda mfupi, lakini hadi sasa sijajua TFF wana mpango gani wa kutengeneza falsafa ya mpira utaojulikana ni wa Kitanzania...
 
ha ha ha ha ha ha japokuwa unaweza ukaonekana una dharau au una jeuri ila Mkuu umenena, Soka limetushinda na imetupasa tutafute mchezo mwingine kwa sasa.
Inatia huzuni sana. Soka imeshatushinda. Riadha ndio tumeshazikwa siku nyingi. Kuogelea, boxing etc. hatuna kitu.
Tutafute mchezo mwengine......................labda darts au shooting pool
 
Back
Top Bottom