The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,229
- 116,840
Nikiri kuwa sijafuatilia in details..mgogoro wa ZFA
likini baada ya kuwaona hao viongozi wa ZFA wakiongea star tv
ningependa kumshauri tu Jamal Malinzi...aachane kabisa na migogoro ya ZFA
yeye asijihusishe kabisa
awaache wenyewe watakavyo amua...
ashrikiane na yeyote atakae chaguliwa...iwe kihalali
au kiharamu....
Huu ushauri nampa sababu naamini Jamal Malinzi hawajui vizuri wazanzibari
Ukiwajua vizuri wazanzibar....utajua kuwa sio vizuri kujihusisha
na migogoro yao
Nyerere mwenyewe tu licha ya kuwa na nguvu mno TZ
lakini ilipofika wakati wa kuchagua nani amrithi...
Wazanzibar 'walimuonesha' fitna ni nini ...
Sidhani kama Malinzi utaweza 'fitna' Wazanzibar wakiamua kukushughulikia....
leave them alone.....huu ni ushauri tu....