engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Kasema yeye na wadau wapenda soka wanajitgolea kumlipa paulsen,jamani watanzania tuache maneno maneno jutifunze kujitolea ni kweli tff kifedha aipo vizuri na paulsen anadai 160,000,000 toa basi njia mbadala wa kupata pesa ya kumfidia sio kueneza majungu
Nashukuru Mungu umekubali hili maake up to now your empty set kabisa
I am getting disapointed....rais wa shirikisho anaposema ntasema yasiyosemekana!!!!!!!
As good as a secret society!!!!!!!
Bado sana...
Kasema yeye na wadau wapenda soka wanajitgolea kumlipa paulsen,jamani watanzania tuache maneno maneno jutifunze kujitolea ni kweli tff kifedha aipo vizuri na paulsen anadai 160,000,000 toa basi njia mbadala wa kupata pesa ya kumfidia sio kueneza majungu
kaka yangu Jamali malinzi nakupongeza sana kwa kuweza kujibu maswali ya wadau kwa ufasaha na kadri ulivyo weza. Kwa hakika baadhi ya maswali ya wadau yatakujenga katika mabadiliko ya utendaji wako. Ila tambua maswali mengine yanatoka kwa wapinzani wako ambayo kimsingi utayafahamu tu. Uvumilivu na hekima uliyo nayo ndio msingi. Ushauri wangu kwako gawa majukumu kwa asilimia 75 na wewe ubakiwe na asilimia 25. Ni hilo tu kaka.
Likewise,yaani president wa tff ndo maneno yako??
Mkuu hayo maswali yanayotoka kwa wapinzani ndio yanayohitajika au ulitaka aulizwe na Team Malinzi.?
Sasa nimeanza kuwaelewa wadau waliohoji kwa nini kajaza wahaya wenzie pale TFF.!
Mkuu, nikuweka msisitizo kwani wajanja wameligeuza soka letu kuwa mradi wao ndo maana baadhi ya viongozi wa vilabu fulani hawataki mechi zao zioneshwe moja kwa moja na TV.