Malinyi na kilimo cha Mpunga

Joined
Aug 11, 2016
Posts
13
Reaction score
3
Halmashauri ya wilaya ya Malinyi, chini ya mkurugenzi wake na mkuu wa wilaya hiyo wamedhamiria kuhakikisha wilaya yao inakuwa kitovu cha kilimo cha mpunga, tayari halmashauri hiyo imeanza kusimamia wakulima kwenye scheme iliyopo kata ya Itete wilayani humo.
Pia halmashauri imeweza kutoa mbegu bure kwa wananchi wanaozunguka eneo la scheme na imewakalibisha wageni hasa vijana kutoka sehemu mabalimbali za nchi ili waweze kulipatia mitaji.
Kwa ujumla Viongozi wa halmashauri wanafanya kazi kubwa.

Katika picha ni mkurugenzi wa halmashauri akikagua shamba la mpunga katika eneo la scheme.
 
Asanteni kwa kuja thanks for coming coming coming
 
Haya ndio mambo ya maana. Hapa Kazi Tu
 
Natia timu soon Malinyi.

Barabara waiweke lami aiseh ni issue sana masika
 
Hivi wewe somo la Kiswahili ulipitia kidogo huko shuleni? Mbona unaandika ovyo ovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…