Malimbikizo ya increment na waliopanda daraja

mfate42

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
3,990
4,730
Habarini wana jamvi..
Nimekuja hapa kupata michango yenu ya kimawazo kuhusu swala la malimbikizo ya increment na kwa wale waliopanda madaraja tangia mwaka jana..

Je kweli mheshimiwa atatulipa au ndo tushapotezewa?????..
 
Nchi imefilisika mkuu, hawezi kuwalipa. Hebu fikiria hela za wahanga zimetapeliwa itakua wewe unapokea mshahara kabisa asee, sahau kuhusu increment.
 
Malimbikizo usiyawazie sasa, kama za earthquake zilipigwa,kama posho zimedeletiwa, kama ajira kavu, kama awamu hii ndo inaanza,...Never trust hope, find solution kuliko waiting for a miracle from the pres.dnt
 
Press.Dont anajua watz wote esp public servants ni mashetani?maana tulifurahi enzi zile anatamka,Leo hii hata bajeti ya Vocha ni ya kufikirika
 
Nchi imefilisika mkuu, hawezi kuwalipa. Hebu fikiria hela za wahanga zimetapeliwa itakua wewe unapokea mshahara kabisa asee, sahau kuhusu increment.
du her kipnd cha jamaa...mana sasa hv n ful kusomeshana namb..gharama za maisha znapanda..mshahara uko palepale..
 
Malimbikizo usiyawazie sasa, kama za earthquake zilipigwa,kama posho zimedeletiwa, kama ajira kavu, kama awamu hii ndo inaanza,...Never trust hope, find solution kuliko waiting for a miracle from the pres.dnt
du kwel kabisaa...dawa ni kilimo tu na biashara.shule n mda wa vpind tu.
 
Back
Top Bottom