Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
namsikiliza naibu waziri malima anakishukuru chama kitukufu cha ccm kwa kumchagua tena na anawaomba wabunge wapige makofi kwa kauli hiyo.
Hivi ile issue ya kukwapuliwa na CD Morogoro imeishia wapi.
Hivi ile issue ya kukwapuliwa na CD Morogoro imeishia wapi.
Hahahahahaaaa Ritz!! Ni wewe?Huyu Malima kama kasema hayo maneno basi atakuwa na matatizo ya akili, sifa ya utakufu anayo Mungu tu, sio CCM.
namsikiliza naibu waziri malima anakishukuru chama kitukufu cha ccm kwa kumchagua tena na anawaomba wabunge wapige makofi kwa kauli hiyo.
Duh, kweli ccm ni tukufu na ndio maana watakatifu wanaokiongoza ni type ya kina malima.
Ni kwelli CCM kwa Malima ni tukufu ukichukulia kuwa alipewa ulaji kutokana na jina la baba yake na si sifa. Nani alidhani mhuni na maamuma kama huyu angekuwa waziri? Yeye ni mbegu ya akina January Makamba, Hussein Mwinyi, Emanuel Nchimbi na Matayo Matayo. CCM ni chama cha wazazi wao hivyo ni kitukufu ingawa kwa wengi ni kitukutu.
hujambo ritz,huyu jamaa hata mimi nimemsikia na amerudia mara 2 baada ya kuona hapigiwi makofi.