Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi. Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani? Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu ya sheria
Kwanza Mods inafaa hii ihamishwe/iunganishwe.. kwenye uzi husika . Pili wewe hujui kilichotokea umebuni kwa kujidai ni mganga wa kutafsir clip...Hivi wapi imeandikwa kwamba ukijibizana na mtu aliyekuwa kiongozi unakoki silaha?
Ushauri kwa mamlaka..askali polisi wahakikiwe vyeti na waliofoji uwekwe mpango...Askali wa leo anatakiwa aende na sayansi na technolojia sio kutoa silaha hadharani. Hivi katika hali ya kawaida wewe kama unamiliki silaha unaitoa au kuitumia wakati upi. Moja pili, katika umma wa watz wapi inastahili kutoa silaha hadharani ..pale kwa malima are you mad?
Hemb nendeni zenu sijui mnatetea upuuz gani...pale kama ni makaz ya watu unawafundisha nn? watoto, raia, unadhan pale nini kimejenga kuwa ishu, malima au polisi kupiga risasi juu..
Kisheria pale anapiga mashine ile juu ili ikapige nini kule juu...dah jamani tusomeni shule ni muhimu.
katik mazingira ya kawaida askal wa namna hii hawawezi kufanya mazingira ya utendaaji kazi wa rais kuwa salama, ni kumpa hedeki tu amiri jeshi..na kumtega...labda ili MKUU WA POLISI ACHUKUE HATUA RAIS AIBARIKI..MNASABABISHA WAKUBWA WAPATE WAKATI MGUMU.
simtetei malima..ni kosa acha askal miaka hii hata mtoto mchanga ukikutana kam hajakusalimia msalimie....dogo hujambo ili akupe shikamoo au asikupe ..lkn wewe umemsalimu hiki ndio kizazi cha sasa
askali ni kama dogo malima alikuwa aombe radhi na kuomba apewe heshma yake ya zamani kuwa wzir , msomi nk..huku akiheshimu wenzie...
lkn askali sio kupiga mashine juu, acheni ujinga ..askali alikosea sana..na malima kwa upande wake..
KUHUSU majembe..hawa siwapendi na kwa nionavyo mzee magu hajafikia huko tuu atapiga marufuku, majembe sijui nani...ni wanyanyasaji..sasa unaona badla ya kudeal na wasumbufu MAJEMBE mnagombana watu wa kawaida askali vs malima. na kuacha ishu ya msingi kupotezewa...