Malighafi inauzwa

Umejuaje kama siwezi kukitamka? Ila hiyo mimi kutamka sio ya msingi ila nilikuwa narekebisha tu ulipokosea ili sikunyingine usiandike Kazowea na badala yake utumie Kazoea mana ndio kiswahili hiyo dada yangu.

Kiswahili cha kufundishwa hicho, halafu aliyekufundisha si Mswahili unataka kubishana na Mswahili wa asli na fasli. Unanshangaza!
 

= it takes time

Si unaona unavyofaidika na "Great Thinkers" wa JF?

Umepata ustaadhat wa bure anakufundisha Kingereza.
 
Reactions: dtj

Mada husika ni uongo mtupu wa mleta mada. Ulitaka tukae kimya tunaojuwa kuwa ameleta uongo? Hili jukwaa la uongo? Halafu wewe unaetetea uongo ndiyo "great thinker"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Reactions: dtj
umekaa kinafiki sana bora mwanga kuliko mtu mnafki,,!' alfu unajificha kwenye kivuli cha dini [emoji35]

Unaemuona wa maana kaumbuliwa kwa uongo kinagaubaga, sasa povu linakutoka!

Sikushangai.
 
Ni utani tu mkuu. We na Faiza Foxy bila shaka mnajuana nyie na wengine hatuwezi kuingilia. Relax King of Msata. Siku moja ntakutembelea hapo kwako...
[emoji87] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
= it takes time

Si unaona unavyofaidika na "Great Thinkers" wa JF?

Umepata ustaadhat wa bure anakufundisha Kingereza.
Typing error iko popote pale hata malkia mwenyewe lugha yake anakosea ila nashukuru kwa kufanya jukumu lako nadhani wewe ni mwalimu wa masomo Yale yalio pigwa ban
 
Mada husika ni uongo mtupu wa mleta mada. Ulitaka tukae kimya tunaojuwa kuwa ameleta uongo? Hili jukwaa la uongo? Halafu wewe unaetetea uongo ndiyo "great thinker"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Daah Mimi elimu yangu ni hot cake dunian
 
Reactions: dtj
Typing error iko popote pale hata malkia mwenyewe lugha yake anakosea ila nashukuru kwa kufanya jukumu lako nadhani wewe ni mwalimu wa masomo Yale yalio pigwa ban

Watu wa aina yako wenye kuwa na sababu hata wanapokosea nimekumbana nao wengi sana katika umri wangu. Sikushangai.
 
Reactions: dtj
Hivi Mshana...Wewe na FaizaFoxy mshawahi kuwa wapenzi MKATARAKIANA..???.. Mbona kila unacho-post yeye anapinga..??

Hata mimi huwa nashangaa, πŸ™πŸ™ Yaani huyo mother Fox, sijui ana nini na Mshana Jr. Maana hi imepitiliza sasa na inaonekana kama ni personal zaidi. Japo siwezi kuona body language yake lakini nahisi kama kuna mahali Mshana amemgusa zaidi ya haya tunayoyaona humu.
 
unajua ukipendwa na mzee ni shida sana? mzee akikupenda atakusumbua sana,bora mshana amptie tu huyu bibi halafu apite hivi,bila hivyo ataendelea kumsumbua sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji115] [emoji115] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
unajua ukipendwa na mzee ni shida sana? mzee akikupenda atakusumbua sana,bora mshana amptie tu huyu bibi halafu apite hivi,bila hivyo ataendelea kumsumbua sana
Safiii....Kama hana pesa ya guest ntamdhamini getto akacheze na hako kazee.....Au mshana jr hutaki vizee..??
 
Hata mimi jana nililigusia hilo suala hako kabibi kakawa kakali kweli ....Mshana nyanyua mutu....(utashangaa kanakuja kusahihisha lugha hapo...)
 
Kiswahili cha kufundishwa hicho, halafu aliyekufundisha si Mswahili unataka kubishana na Mswahili wa asli na fasli. Unanshangaza!

= it takes time

Si unaona unavyofaidika na "Great Thinkers" wa JF?

Umepata ustaadhat wa bure anakufundisha Kingereza.

Mada husika ni uongo mtupu wa mleta mada. Ulitaka tukae kimya tunaojuwa kuwa ameleta uongo? Hili jukwaa la uongo? Halafu wewe unaetetea uongo ndiyo "great thinker"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Faiza fix wee mwanaharamu kibirikangoma sijui akili yako imejaa utumbo gani huko... Mbona unajitia kimbelembele na kuleta ujuaji mwingi kumbe bureee pyuuu
 
Faiza fix wee mwanaharamu kibirikangoma sijui akili yako imejaa utumbo gani huko... Mbona unajitia kimbelembele na kuleta ujuaji mwingi kumbe bureee pyuuu

Qur'an 2:
15. Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo.
Maelezo
 
Reactions: dtj

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…