Malighafi inauzwa

Mimi huchukulia picha na baadhi ya post za mkuu mshana jr kama za kufurahisha na kufikirisha tu. Si kama taarifa rasmi za kufanyia kazi. Hata hivyo tunatofautiana katika kusoma na namna ya kutafsiri mambo.
Jf photos iko ndani ya forum ya social! Ila kwakuwa wengi ni wakurupukaji hawalioni hili...! Na kilichopo hapa ni kwa vile kapost Jr[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyie mnaosemana mshana ni tapeli leteni ushahidi ya utapeli wake tuone kama ni kweli mbona sisi tunawasiliana naye Sana na hajawahi kutuonyesha dalili za kututapeli.. Faizafoxy na team yako mmezidi sana kumchafua mshana utafikiri yeye peke Yake duniani ndio muongo akiyebakia.. Mshana jr Tafadhali hii imekuwa too much Sana CHUKUA hatua... Mods
 
 

Kwi kwi kwi teh teh teh

Afadhali hata wewe umekiri kuwa jamaa ni muongo.

Akidanganya na nikimuona ntamuumbua, amma yeye amma mwengine yeyote. Kumbuka hilo.
 

Umetukosoa sana kumbe na wewe hujui kiswahili vizuri🙂🙂🙂🙂🙂🙂 .Siku nyingine sema Kazoea
 
Hicho ulichokiandika hata kukitamka huwezi.

Punguani wahed.
Umejuaje kama siwezi kukitamka? Ila hiyo mimi kutamka sio ya msingi ila nilikuwa narekebisha tu ulipokosea ili sikunyingine usiandike Kazowea na badala yake utumie Kazoea mana ndio kiswahili hiyo dada yangu.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh

Afadhali hata wewe umekiri kuwa jamaa ni muongo.

Akidanganya na nikimuona ntamuumbua, amma yeye amma mwengine yeyote. Kumbuka hilo.
Waonee wengine kisha uje huku niendelee kukunyorosha mwanaizaya weye
 
Umejuaje kama siwezi kukitamka? Ila hiyo mimi kutamka sio ya msingi ila nilikuwa narekebisha tu ulipokosea ili sikunyingine usiandike Kazowea na badala yake utumie Kazoea mana ndio kiswahili hiyo dada yangu.
Mueleze huyo hayawani
 
Kwi kwi kwi teh teh teh

Afadhali hata wewe umekiri kuwa jamaa ni muongo.

Akidanganya na nikimuona ntamuumbua, amma yeye amma mwengine yeyote. Kumbuka hilo.
Kula tano nyanya yangu.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh

Afadhali hata wewe umekiri kuwa jamaa ni muongo.

Akidanganya na nikimuona ntamuumbua, amma yeye amma mwengine yeyote. Kumbuka hilo.

umekaa kinafiki sana bora mwanga kuliko mtu mnafki,,!' alfu unajificha kwenye kivuli cha dini [emoji35]
 
Mtu mwenye akili timamu na GREAT THINKER huwa anasoma kitu na kukichambua mara mbili kujua ukweli na uhalisia wa picha au maneno au neno na kiisha kutoa statement iliyobora na yenye kujenga

Ila mpumbavu ni yule anaekuja au kujibu kwa kitu kwa shtuma ili aonekane yeye ni muelewa zaidi kushinda yule au wengne.

Nimefuatilia mada nyingi humu JF tangu nijiunge miaka kadha iliyopita watu wengi wanajibu hoja kimehemko na si uhalisia wa mada husika na hicho ndicho kinatucost mpaka sasa.

NB: SIO KILA MTU NI GREAT THINKER IT TAKE A TIME TO BE A GREAT THINKER
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…