Malighafi inauzwa

Picha kama heading yake inasema wahaya sifa zitawaua
Je ni kweli ni wahaya?
Au aliyefanya hivi ni mhaya?
 
Wewe si umesema umeitoa msata hiyo picha, hapo ni msata?
Punguza povu
 
Picha hii imepewa kichwa cha habari mwanamke wa Dar je ni kweli huyu ni mwanamke wa Dar? daima usijaribu kubishana na mpumbavu unavyofanya ni kumuacha mpumbavu katika upumbavu wake
 
Reactions: dtj
Wewe si umesema umeitoa msata hiyo picha, hapo ni msata?
Punguza povu
Nilikujibu wewe? Niliowajibu wamenielewa! Povu ongeza wewe! Usihemkwe tafadhali na usidandie reply zisizokuhusu itakusaidia sana
 
Nilikujibu wewe? Niliowajibu wamenielewa! Povu ongeza wewe! Usihemkwe tafadhali na usidandie reply zisizokuhusu itakusaidia sana
Unapo reply inamaana unataka sote tusome km kuna mlengwa ulikua unamjibu na hukutaka mimi nisome basi ungemfata PM, kama unapenda sana kuungwa mkono kwa kila pumba zako unazoweka hapa basi uache kudanganya otherwise nitaendelea kukulipua.
 
Ukweli mchungu eeee?
Pole mkuu kama imekuchoma.
Maana naona na wewe hupendi kukosolewa.
Ukikutana na binadamu asiyependa kukosolewa muogope sana
Ninachopingana nacho ni kukosolewa kwa hoja sio upuuzi, nimeweka mifano michache hapo ya picha za members wengine je hizo picha na heading zake ndio uhalisia?
Unapoitwa GT ina maana kubwa kuliko kujinasibu kwa maneno tupu
 
Unapo reply inamaana unataka sote tusome km kuna mlengwa ulikua unamjibu na hukutaka mimi nisome basi ungemfata PM, kama unapenda sana kuungwa mkono kwa kila pumba zako unazoweka hapa basi uache kudanganya otherwise nitaendelea kukulipua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu sana kumbe hata hujaelewa ulichoambiwa...tafakari kabla hujajibu
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Rudi uelezee nini hicho..??? Au nyara za serikali ??...Siyo nywele za simba hizo kweli..? ?
 


Wewe wacha uongo, ulipoulizwa ni nini hicho, umefikia hadi kusema "manunuzi ya nywele za maiti". Wakati tunaotembea kwenye mitandao tuna kumbukumbu ya hizo picha na tumekuumbua mchana kweupeeee.

Unadanganya wazi wazi halafu unautetea uongo wako? Na bado unaendelea kuwajaza watu ujinga?

Hakika shule ulienda kusomea ujinga na nnawapa pole sana wazazi wako.
 
mmmmmm kwa mara ya kwanza Mshana jr nakuona umechukia my kaka sijawahi kusoma comment yako ukiwa umeandika kwa ghazabu kiasi hiki, pole sana calm down.
 
mmmmmm kwa mara ya kwanza Mshana jr nakuona umechukia my kaka sijawahi kusoma comment yako ukiwa umeandika kwa ghazabu kiasi hiki, pole sana calm down.
Sichukizwi na wapumbavu wala wapuuzi bali upuuzi na upumbavu wao
 


Asante Dr.

WATU WALIOPIGWA NA POLISI
Salum Bakari Muya alidai aliteswa kwa kukatwa ngozi kwa kisu kichwani na kasha kunyonyolewa nywele
 
Hujisikii aibu kudanganya weye mwanaizaya? Wapi kasema manunuzi ya nywele za maiti?
Onyesha hapa sasa hivi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…