Malighafi inauzwa

Bei gani mkuu mbona hujatoa maelezo mazuri juu ya bidhaa yako ikiwemo ubora,location n.k
 
Braza hivi vitu unakutana navyo wapi?


Huyo mtu ni muongo wa kutupwa.

Hizo ni picha za mwaka 2012, Zanzibar. Zilienea kwenye mitandao.

Sijuwi huwa anapata faida gani kuzichukuwa na kuzibadilisha maudhui?

Kazi yake ni kutwa kucha anafikiri namna ya kudanganya watu tu.

Jionee: UKADIRIFU: October 2012
 
Kumbe hizi umezitoa huku na kuja Jf kutudanganya!!
Naomba nikujibu kwakuwa naona kuna umuhimu wa kufanya hivyo hebu niambie nimedanganya nini? Umeniuliza nimezitoa wapi sikukujibu! Heading inasema. ..malighafi inauzwa..kwa akili zako hili linawezekana? Ni kwa wenye akili finyu pekee kama matako ya bata ndio ambao hawajui dhima ya jukwaa la picha
Nina hulka ya kutowajibu wapuuzi kwakuwa wapuuzi hawajibiwi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…