Mali zaidi za Tanzania kukamatwa ughaibuni kufidia madeni, serikali yatuma watu Marekani kujinasua

Basi chadema watafurahia sana...hahahahahaha......wanajipoza baada ya maumivu...
Basi chadema watafurahia sana...hahahahahaha......wanajipoza baada ya maumivu...
Hebu jaribu kuficha upumbavu wako uliotukuka,Chadema watafurahia kwa lipi?kwani hiyo hasara inamkumba nani? wewe hujui kuwa ni taifa zima imekula kwetu wakiwemo na wasio na vyama?
Wewe ni mjinga kweli the day is coming for which you will be obliged to pay the price,ccm mmeiharibu Sana Tanzania
 
Kwanini mheshimiwa asiende kujiweka bond mwenyewe badala ya kuacha pesa ya wananchi ipotee kirahisi..na wale wapuuzi wanaomtetea waende wakawe ma slave ili ndege ije.
Kweli kabisa mkuu,hapo umenena maana kuna baadhi ya Watu wanaunga mambo ya kipuuzi alafu wanajidai wazalendo
 
Tutapambana na hali yetu, hatuwezi kupelekeshwa na makampuni ya kitapeli kutoka nje!
 
Tatizo Mugabe anaendesha nchi kwa ushauri wa grace haya tuone round hii labda atamwandikia barua trump
 
Hapo ndipo ulipo mzizi wa fitina ungewafukuza kwa kufuata utaratibu hata mahakamani ungeshinda hayo hayakufanyika kwenye mikataba hiyo kuna ABC ambazo sharti uzifuate ndio ubaki salama vinginevyo mtu anatumia udhaifu wako kukufungulia kesi mahakamani.
Hapo ndio ninashangaa Kwani madeni ni mengi Konoike walishinda billions 133 Sijui wao watakamata kitu gani
 
Basi chadema watafurahia sana...hahahahahaha......wanajipoza baada ya maumivu...

Haya si ya kufurahiwa na Mtanzania yeyote awe CHADEMA /CCM/CUF/ACT nk
na huu si wakati wa kubaguana kama ni deni si DENI LA CHAMA na mali zitakazokamatwa SIO MALI ZA CHAMA bali ni mali za Watanzania Wote zinazotokana na kodi zao na rasilimali za Taifa
 
Naona vyuma vinakaza kwa Serikali na nchi kwa ujumla. Kwani Bombadier ya Canada haijatosha kulipia deni lao mpaka waende kuvizia Dreamliner huko US? Hawa wapinzani wanaoshirikiana na wazungu ni watu wabaya sana.
Unadhan wapinzan ndio wanawashauri wazungu kukamatilia mali zetu?? Itakua kuna sehem kuna shida
 
Kama vp wakaniweke mimi bond huko ili ndege zije nahis ntaishi maisha mazuri tu
 
Wakamate zote na ikiwezekana wawakamate watanzania wafidie deni. Ndicho tulichokichagua.
 
Back
Top Bottom