iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Kumekuwa na propaganda kwamba baada ya agizo la magufuli kukamata sukari inayodhaniwa kufichwa na wafanyabiashara,baadhi ya wanachi wamekuwa wakiandaa viroba vya kuibeba sukari siku mgao ukianza,ni mahakama tu ndio ina mamlaka ya kumpata mtu na hatia na kumtangaza muhujumu uchumi na kuchukua Mali zake,mahakama itampa haki ya kujieleza na kujitetea,na kama atakutwa na hatia basi Mali zake huchukuliwa....ni mchakato wa kisheria si kisiasa,mtasubiri sana mnaoota ndoto SAA kumi na moja jioni