Mali (utajiri)

Mali (utajiri)

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,946
Mapenzi ya mali inachochea tamaa na kuharibu wema.

Usia unawafariji warithi

Mali ni chanzo cha hamaki.


Bora ya akiba ni pale ambapo kazi zinatawanywa vyema.


Fedha haimnufaishi mwenye kuwa nayo hadi hapo anapotengana nayo.
 
Mwandiko hausomeki vizuri
Sijui umetumia pensel
Hebu jaribu kuandikia bic.

Good message though.
 
Back
Top Bottom