Mali mpya sokoni kwa bei nafuu

Mali mpya sokoni kwa bei nafuu

hizi cassete bado zipo? mh nakumbuka nilikuwa navizia watu hawapo hom naingia rum kujirekodi eti natangaza habari then vifo vya maharage na nduguze vijiko, sahan, wakiwa kabatini...thnx 4 takin me back
 
yaani nilikuwa na hasira,nimefungua hii thread nikatabasam.You made my day.
 
Za kihivyo huwezi pata mtaani sasa!
Mchina kaleta zake zimeandikwa "NETIONAL" na nyingine "PANASOANIC".
Ukienda kichwa kichwa utadhani ni za zamani hapo...
 
Ngoja nimuulize babu isije kuwa mumeiba radio yetu khaaa! Au kama kuna mtu anaweza ona hapo juu anambie ya babu ina nembo imeandikwa jina"MLYA"
 
Back
Top Bottom