Mali Mpya imeingia

Mali Mpya imeingia

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
mzigo mpya wa vifaa vya simu 1.Usb Cables Kwa ajili ya simu Urefu wa hadi mita tatu Iphone 4, iphone 5 na zile za samsung pamoja na simu nyingine Price 15000 2. Power bank 2800 MAH kwa 25000 na 30000Mah kwa 130,000. 5600MAH kwa 35000 3. Travel Adapter 12000 Wanaotaka mzigo wa Jumla tuwasiliane Contact (PM ME): Picha Ziko Attache
 
Attachments

  • image (2).jpeg
    image (2).jpeg
    17.9 KB · Views: 215
  • image (3).jpeg
    image (3).jpeg
    17.1 KB · Views: 195
  • image (4).jpeg
    image (4).jpeg
    20.4 KB · Views: 181
  • image (5).jpeg
    image (5).jpeg
    23.9 KB · Views: 175
  • image (6).jpeg
    image (6).jpeg
    22.1 KB · Views: 181
  • image (7).jpeg
    image (7).jpeg
    21.1 KB · Views: 165
  • image (8).jpeg
    image (8).jpeg
    23.1 KB · Views: 173
  • image (9).jpeg
    image (9).jpeg
    22.5 KB · Views: 178
  • image (10).jpeg
    image (10).jpeg
    22.6 KB · Views: 169
  • image (11).jpeg
    image (11).jpeg
    18.4 KB · Views: 176
  • image (12).jpeg
    image (12).jpeg
    17.2 KB · Views: 175
  • image.jpeg
    image.jpeg
    18.9 KB · Views: 175
Cable ndefu kama hizo nilinunua Duka la Sapna kwa ajili ya iPhone 5, waliniuzia nadhani Tshs. 25,000 ilidumu nadhani kama wiki 5 kile kichwa kikachomoka chenyewe. Yaani hizo cable hazifahi

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hizi ni og
 
Taadhali.
Usiweke simu yako Original ya IPhone kwenye power bank ya Kichina Utalias
 
Eti ni ORIGINAL!!!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Unajua mkuu hii ni biashara so please uwe na respect kwenye biashara za watu hapo ndo natafutia riziki yangu sawa?? Sio vizuti kuchezea sehemu ambapo mwanaume anapatia chakula so heshima iwepo tafadhari usiniharibia biashara na hao watakaonunua si watu wa kwanza sijaanza leo biashara heshima iwepo tafadhari
 
Taadhali.
Usiweke simu yako Original ya IPhone kwenye power bank ya Kichina Utalias

Usipotoshe watu, Mimi natumia Power Bank ya aina ya Yoobao kuchaji iPhone 4s yangu kwa karibu mwaka sasa na sijaona tatizo lolote. Na hata hizo cable mnazosema hazifai mi ninayo moja ya mita 4 kwa zaidi ya mwaka salsa Vila shida yoyote! Zote ni za kichina.
 
Asante mkuu kwa kuongea maana kuna watu wako specifically kuharibu biashara za watu
 
Back
Top Bottom