Mali hizi zinazodaiwa kumilikiwa na Bashite zinazua maswali mengi sana

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,702
149,934
Mali hizo ni hizi zifuatazo:

1.Toyata Mark 11

2.Ford ranger(ya mwaka 2015)

3.Ford ranger(ya mwaka 2016)

4.Mrecedec Benz( mbili za model tofauti)

Taarifa hii ni kulingana na maelezo ya dada Mange Kimambi huko Instagram na yeye ameweke document inayoonyesha ni nani mmliki wa magari hayo na hiyo document amesema imetoka katika taasisi husika ya serikali(kaitaja)

Kwa maelezo ya dada Mange ni kwamba kuna mtumishi wa Taasisi hiyo kapiga picha document hiyo kutoka kwenye screen ya computer na kisha kamtumia.

Details zaidi kuhusu hayo magari zinapatikana katika hiyo document ingia Instagram kwa Mange ukajionee.

Hizi document ni lini zimewahi kukanushwa na taasisi husika?

Nimepoteza imani kabisa na hii nchi yangu.
 
Sio kila unachokiona kwenye mtandao kikiwa kimepostiwa na mtu kama wewe ni cha kweli, vingine ni matando pori, hebu lete taarifa kamili yenye kujitosheleza ikiwemo source ya taarifa hiyo( reliable source) nk, vinginevyo stori inakuwa chuki + majungu + wivu + kwa nini, nk
 
Taasisi husika imewahi kuzikana taarifa hizo?Unadhani hii ni mara ya kwanza dada Mange ku-post document za hiyo taasisi?
 
IMG-20161130-WA0007.jpg
. Mali za mungu wa Dar....
Zitaishia tu kutajwa tajwa, na upepo utapita
 
Hizi sio tuhuma mpya, ni kama za vyeti hajawahi kanusha umiliki wa magari hayo au kutoa ufafanuzi wa jinsi alivyoyapata!
 
Mali hizo ni hizi zifuatazo:

1.Toyata Mark 11

2.Ford ranger(ya mwaka 2015)

3.Ford ranger(ya mwaka 2016)

4.Mrecedec Benz( mbili za model tofauti)

Taarifa hii ni kulingana na maelezo ya dada Mange Kimambi huko Instagram na yeye ameweke document inayoonyesha ni nani mmliki wa magari hayo na hiyo document amesema imetoka katika taasisi husika ya serikali(kaitaja)

Kwa maelezo ya dada Mange ni kwamba kuna mtumishi wa Taasisi hiyo kapiga picha document hiyo kutoka kwenye screen ya computer na kisha kamtumia.

Details zaidi kuhusu hayo magari zinapatikana katika hiyo document ingia Instagram kwa Mange ukajionee.

Hizi document ni lini zimewahi kukanushwa na taasisi husika?

Nimepoteza imani kabisa na hii nchi yangu.

Mkuu ukabila ndo tatizo kubwa sana ktk awamu hii,bila kusahau udini
 
Sio kila unachokiona kwenye mtandao kikiwa kimepostiwa na mtu kama wewe ni cha kweli, vingine ni matando pori, hebu lete taarifa kamili yenye kujitosheleza ikiwemo source ya taarifa hiyo( reliable source) nk, vinginevyo stori inakuwa chuki + majungu + wivu + kwa nini, nk
Wewe ni zaidi ya Bashite
 
Nahisi hizi ni mali za mkulu ndiyo maana amekaa kimyaaaa,
ingekuwa siyo zake angeshamtumbua kitambo! Au kuna namna?
 
Sio kila unachokiona kwenye mtandao kikiwa kimepostiwa na mtu kama wewe ni cha kweli, vingine ni matando pori, hebu lete taarifa kamili yenye kujitosheleza ikiwemo source ya taarifa hiyo( reliable source) nk, vinginevyo stori inakuwa chuki + majungu + wivu + kwa nini, nk
Dah... Wewe unabisha nini wakati Mange kashasema bana?
 
Back
Top Bottom