Malezi ya watoto

c_alphonce

Member
Joined
Apr 27, 2024
Posts
5
Reaction score
11
Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha juu cha ubongo Cortex hujifunga katika mazingira ambayo mtoto anawasiwasi na hasira. Kwa hiyo katika hali hiyo hawezi kuelewa Chochote; mtoto hujifunza vema katika nyakati walimu na wazazi wamejenga mazingira rafiki na salama.

Kwa mafundisho mazuri, kanuni bora za hisabati hazina mashiko kama mazingira si ya furaha. Cheeers kwa walimu wenye furaha, cheers kwa wadada wa kazi wenye furaha, na wazazi wafundishao watoto wao kwa furaha.

Kanuni ya "Connect and redirect" inasaidia sana especially mtoto anapodai anaumwa tumbo au kichwa ilhali ni saa ya kwenda shule. Unajua fika anasingizia tu; lakini iko namna bora ya kusema naye. Pg 5

"Watoto wasiofundishwa wataendelea kuwa watoto hata watakapokuwa watu wazima. Mafunzo ndio humtoa mtu kutoka utoto kwenda utu uzima" pg 3
TAFUTA KITABU CHA DONDOO 24 ZA MALEZI kitakujenga sana.

Mahali:
Airports books JNIA
House Of wisdom POSTA
Au 0622334199
0656090300
 
Attachments

  • VID_40320429_042710_849.mp4
    467.5 KB
Katika ulimwengu wa leo taarifa ndio bidhaa ya bei ya chini. Taarifa zinapatikana kwa bei chee. Watoto wanapata taarifa nyingi lakini ni kazi ya mzazi kuwaeleza usahihi na kuchagua ni katika chanzo gani mtoto akapate taarifa.
Ni
Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha juu cha ubongo Cortex hujifunga katika mazingira ambayo mtoto anawasiwasi na hasira. Kwa hiyo katika hali hiyo hawezi kuelewa Chochote; mtoto hujifunza vema katika nyakati walimu na wazazi wamejenga mazingira rafiki na salama. Kwa mafundisho mazuri, kanuni bora za hisabati hazina mashiko kama mazingira si ya furaha. Cheeers kwa walimu wenye furaha, cheers kwa wadada wa kazi wenye furaha, na wazazi wafundishao watoto wao kwa furaha.
Kanuni ya "Connect and redirect" inasaidia sana especially mtoto anapodai anaumwa tumbo au kichwa ilhali ni saa ya kwenda shule. Unajua fika anasingizia tu; lakini iko namna bora ya kusema naye. Pg 5

"Watoto wasiofundishwa wataendelea kuwa watoto hata watakapokuwa watu wazima. Mafunzo ndio humtoa mtu kutoka utoto kwenda utu uzima" pg 3
TAFUTA KITABU CHA DONDOO 24 ZA MALEZI kitakujenga sana.

Mahali:
Airports books JNIA
House Of wisdom POSTA
Au 0622334199
0656090300
 
Attachments

  • PXL_20250801_185130144.mp4
    5.7 MB
  • PXL_20250801_185123698.MP.jpg
    793.2 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…