Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Alafu wewe ndio unamfundishaga ehhh?
I'm proud of him! Lol
Alafu wewe ndio unamfundishaga ehhh?
Unao wangapi? Huwa hamuwakatazi kuchezea chezea vitu? Panga budget ya kuwanunulia makorokoro yao ya kuchezea na kujifunzia.
I'm proud of him! Lol
Alafu we unashtuka nini?
Siumemkataa wewe?
Nilimpumzisha tu, na ungejaribuuuuu......TOTANANE kungegeuka Misri!!! Lol
madam acha hasira bwana, si unajua wengine humu hatua moja mbele!
Hahahahah. . .umempumzisha sasa kaopoa mwingine!!
Yaani hapa amevunja screen ya Tv hata sijui mechi ya man utd ntaenda angalia wapi, maana bar nako ni mikelele tupu. Natamni hata 'nimkate' kichwa aisee sema tu hii serikali itaingilia kati. Na kale ka ugomvi kake na aliyemuachia nyonyo ni kama kamemwagiwa petroli.
Jamani wenzangu unatumia njia gani, mbona mwenzenu ni kama wodi ya watoto hospitali. Kuna kila dalili ya kuanza ku-apply ule usemi usemao 'spare the rod spoil the child' ingawa najua watani-mind sana. Nshachoka mie!
Usiku mwema bandugu!
Ni mtoto wako ama umesingiziwa? How could you dare do that? TV mbona utazichanga utapata nyingine...but life once gone ndo bye bye
Hivi unajua maana ya neno kuwekewa top brackets? Walioelewa wala hawakufika huko. Nyie ndo mnaotafsiri mambo bila kujua neno lina maana gani. tena mmenikumbusha jinsi Augustino Mrema alivyotafsiri kauli ya mwali ya "I can't leave my country to the dogs". Jaribu kufikiria kidogo unapoona neno limewekewa top brackets, na kama huelewi basi usikimbilie kutoa tafsiri kwa hisia. Shida ya kusoma sekondari au vyuo vya kata matokeo yake ndo hayo.
Mkuu mshukuru mungu kwa kukupa watoto!mtoto akiwa mtundu ndio vizuri,asipoharibu atajifunzaje?kuna watu wanawatafuta hao watoto wa kuwavunjia hizo screen za tv hawawapati!kila siku wanakesha kwenye maombi!mshukuru mungu kwa kola jambo mkuu!
Loh. . .Juzi kama sio mashahidi ningeweza kakaba kamoja!!Yani wangekua wana kazi dawa yao ingekua kuwakata mshahara!!
Ukisema ukasirike wala haisaidi, utaishia kupandisha hasira ukose pakuishushia!! Jitahidi tu kuwa mnamwangalia angalia akiwa karibu na vitu anavyoweza kuharibu kirahisi.