Malezi ya watoto wadogo yanaboa jamani, mweeeeeeee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malezi ya watoto wadogo yanaboa jamani, mweeeeeeee!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Feb 16, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Yaani hapa amevunja screen ya Tv hata sijui mechi ya man utd ntaenda angalia wapi, maana bar nako ni mikelele tupu. Natamni hata 'nimkate' kichwa aisee sema tu hii serikali itaingilia kati. Na kale ka ugomvi kake na aliyemuachia nyonyo ni kama kamemwagiwa petroli.

  Jamani wenzangu unatumia njia gani, mbona mwenzenu ni kama wodi ya watoto hospitali. Kuna kila dalili ya kuanza ku-apply ule usemi usemao 'spare the rod spoil the child' ingawa najua watani-mind sana. Nshachoka mie!

  Usiku mwema bandugu!
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Uvumilivu na uelewa ndiyo njia pekee ya kukabiliana na watoto hasa walio katika rika la kufanya uharibifu.

  Elewa kuwa hiyo ni hatua tu wapitiayo watoto wengi. Ukishaelewa hivyo hata kuvumilia hutapata shida.

  Ila nikiri kuwa si kazi ndogo. Kuna wakati wanaweza wakakusuma hadi ukataka kuwadunda kama watu wazima. Lakini tumia ukubwa wako na busara zako ili usifike kufanya hivyo.
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Huo ndo uzazi.
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Wao si huwa wanatelekeza tu alafu mtoto akikua ndo utawaona wanatunisha misuri eti 'nimekuja kumchukua mwanangu'..........lol!!!
   
 5. e

  ejogo JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole bandugu. ila kids are so lovely.
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  aisee wamama mbona mna kazi. Anaye wadharau apate laana aisee. Yaani hapa navuta picha inakuwaje yaani mama ndo inakuwa norma schedule yake hiyo on a daily basis!
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  very right they are very lovely. Pamoja na fujo zao zote wakiondoka tu, u feel very lonely
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Loh. . .Juzi kama sio mashahidi ningeweza kakaba kamoja!!Yani wangekua wana kazi dawa yao ingekua kuwakata mshahara!!

  Ukisema ukasirike wala haisaidi, utaishia kupandisha hasira ukose pakuishushia!! Jitahidi tu kuwa mnamwangalia angalia akiwa karibu na vitu anavyoweza kuharibu kirahisi.
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  madam acha hasira bwana, si unajua wengine humu hatua moja mbele!
   
 10. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  mie kangu huwa kanakuja na mpira, Halafu kaniambia 'baba banua nguuu ncheje mpira, ukipanua tu kanakupiga toba Halafu kanaaanza kunicheka. Tukilala kitandan basi mwenzenu nala mateke ya usoni SI mfano. Nimeamua kuhamishia kitanda changu chini kwenye siment. Ila mie nafurahi kalivyokatundu kwa sabab
  Kabla ya hapo wife alikuwa mkinya kweli Ila siku hizi kama kafungiwa mota mdomon
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mpendwa,

  wengine wanamwomba Mungu usiku na mchana wapate watu wa kuharibu vitu vyao ndani na kuchafua nyumba, wewe unasema unatamani kumkata mtoto kichwa kwa kukukosesha kuangalia mechi ya man u? siwezi kuiamini hii sentensi mpaka utakapoirudia mara tatu!

  kwa kweli kama hayo ndiyo yaliyoujaza moyo wako, Mungu akuhurumie sana, hujui usemalo mpendwa

  ubarikiwe sana

  Glory to God!
   
 12. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Huyu hajui maana ya kuwa na mtoto. Wenyewe wanajua kuchomeka tu na kumwagia
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Unao wangapi? Huwa hamuwakatazi kuchezea chezea vitu? Panga budget ya kuwanunulia makorokoro yao ya kuchezea na kujifunzia.
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Afadhali umesema maana mbona hayo ni ya kawaida sana.
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Heeeehh!!!!
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280

  Ni mtoto wako ama umesingiziwa? How could you dare do that? TV mbona utazichanga utapata nyingine...but life once gone ndo bye bye
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hahaaahhahh ndo uzazi huo....
  Enjoy every moment of it........
  Huku ukiwafundisha kuthamini vitu, ndo wakati muafaka wa kuwafunza.....
   
 18. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ahahahahaaaaa safi sana. Tena na kazidi kuwa katukutu.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Alafu we unashtuka nini?
  Siumemkataa wewe?
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Alafu wewe ndio unamfundishaga ehhh?
   
Loading...