Malezi nitese

Kwa raha ya mtoto hata hicho kinyaa utasikia basi....kwani wapo wanaotafuta wapate japo toto teja na hawapati
 
unadhani huwa watoto wanakojoaje kitandani,yaani anahisi flani anakojoa mbali,kushtuka kaharibu

Hahahaha ndio zako nini hizo enzi hizo unalimwaga hadi unaimbiwa kindumbwendumbwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…