Malecela: Siyoi habebeki, hapambiki..

Nilifikiri mwanzisha mada alimnukuu Malecela akisema maneno hayo yaliyoandikwa kwenye heading, kumbe ni tofauti.!!
 
Siyoi nimjuae hafai kuwa kiongozi.Uongozi wa bweni tu pale London ulimshinda.Nimesoma naye darasa moja pale London.Hafai jamani,hafai....
 
baba wa @new york kutembea tu shida eti aombwe kwenda wapi?

magwanda bwana mmezidi mipasho
 


Huyo Sio atabebeka vipi wakati alipo kuwa CRDB hakubebeka?? na Tabia furani ambayo wafanyakazi wengi wa CRDB hawakuipenda alikuwa anajiona sana na kujitenga sana na anatabia ya kumpiga mkewe.

My Take;
Kiongozi kama Mr.Sio, kama katika jamii ndogo tu ya CRDB arishindwa kujiweka vyema na wafanyakazi wenzake wapi na wapi ataweze kuwaongoza ndugu zake hao wa Arumeru mashariki vyeo vingine sio vya kupena tuu kwakuwa ati baba alikuwa hivi fight kama wewe na usibebwe.

Kama Mr.Sio amepita kwenye kura za maoni ndani ya CCM kwa style hii ya kipitisha vijisent je CCM huko iendako itapona kweli hawa ndio vijana walio kuwa wanategemewa na CCM kuibadiri CCM na dhahili sasa twaona CCM inaporomoka Makamba January ndg yangu hapo CCM hamto paweza kabisa kwa style hii ya wenzako wanayo kwenda, Kuwa vibaraka wa viongozi walipo


............du! hapo penye red panamtia doa sana huyu sharobaro!!!!! siku hizi hata ukiwakutanisha jogoo wa mtaa wa saba na sita hawapigani, sembuse sisi binadamu? hafai huyu, akapambane na akina Maugo na Cheka kule Morogoro
 
Hebu nielezeni, watu wanaotoboa masikio na kavaa hereni, kulia au kushoto wana maana gani. Hawa vijanona wakitanzania huwa wanatoboa sikio gani?
 
Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti Msataafu wa CCM, John Samwel Malecela maarufu kama 'Tingatinga',ametafsiriwa na wachambuzi wa mambo kama mtu asiyemuunga mkono mgombea wa CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki,Siyoi Sumari.

Malecela amejiweka mbali na kampeni zinazoendelea za chama chake.Malecela alipofuatwa ili aongozane na 'Uncle Benny' aka 'Mjuzi wa ukoo' aliruka kimanga kuelekea huko akionyesha dhahiri kutoridhishwa kwake na mchakato mzima wa kumpata Siyoi. Malecela amesoma alama za nyota?

pana miujiza inawezatokea mmoja wa vigogo ccm kupanda jukwaa la CHADEMA kumpigia kampen Nasar.
 
Back
Top Bottom