Tumesikia Mr Malecela yuko UK kwa matibabu ya moyo!
Marehemu Nyerere naye alitibiwa huko.
Najiuliza baada ya miaka 50 ya uhuru,kwa nini viongozi wetu bado wanakwenda majuu kutibiwa?
Kumbe hospitali zetu ni fake,ni walala hoi tu.
Hii ni hypocricy kubwa sana,maana Malecela hiyo bill ya medical ,ni sisi walala hoi tutailipa tunaotibiwa MMC na akina mama wajawa zito wanaolala chini hopitalini Temeke etc