AmeenHayo uliyotabiri nayafuta kwa JINA LA YESU Kristo hayatatokea kamwe katika nchi hii kwa DAMU ya YESU KRISTO.
Nchi itabaki kuwa ya amani na utulivu na ole wake atakayeleta machafuko hatadumu ingawaje kuna tatizo kubwa sana la kukosekana kwa HAKI na kuminya DEMOKRASIA. Serikali isimamie haki na kuheshimu demokrasia ili amani yetu iwe na maana
Ni kweli JPM ana maadui wengi sana lakini ulinzi mkuu alionao ni ule utokao kwa Mungu, JEHOVA ambaye ataendelea kumlinda. Ulinzi mwingine ni COSMETIC TU. Tumuombee wote.Namuunga mkomno Mzee Malechela kwani Mh. Rais ana maadui japo wachache lakini wenye jeuri ya pesa!!! Aongezewe ulinzi.
mkuu ni masikini matajiri wamebanwa pabaya na wanamchukia sana jpm,......Nani amuongezee ulinzi ilihali yeye ndie serikali.si ajiongezee ulinzi.japo mi naamini watanzania tupo pamoja nae.
mkuu meli iliyokamatw imekamatwa lini?????????Sasa mbona umechangia?
Mzee bana atakuwa anawaza tofauti tu mkewe kamwagwa bila hata kupokea mshahara mmoja
Aiseeeee Kie Kie Kie KieLabda anamwombea kazi ya ubaunsa Le Mutuz.....you never know
Mkuu hapo naona unauliza ndevu kwa osamamkuu meli iliyokamatw imekamatwa lini?????????
ya kigogo wa ccm na meno ya tembo??????????
kin...,.ner nini?????????
teh teh ilikamatwa lini mkuu,...au ndo ile ya kipindi kile???????????Mkuu hapo naona unauliza ndevu kwa osama
Yahp naona baada ya kumaliza shughuli za uchaguzi ameamua kuifuatilia ingawa alikataa kutambua mzigo ulikuwemo ndani yake lkn meli alikili kuwa anaitambuateh teh ilikamatwa lini mkuu,...au ndo ile ya kipindi kile???????????
time will tell,........huyohuyo tena anakashifa ya kuiba madini yetu tenaYahp naona baada ya kumaliza shughuli za uchaguzi ameamua kuifuatilia ingawa alikataa kutambua mzigo ulikuwemo ndani yake lkn meli alikili kuwa anaitambua
Mkuu hilo lijamaa ndio maana hatakiwi kabisa kuonekana kwao somaliatime will tell,........huyohuyo tena anakashifa ya kuiba madini yetu tena
hawa jamaa bhna