amanimaendeleo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 251
- 75
Namuunga mkomno Mzee Malechela kwani Mh. Rais ana maadui japo wachache lakini wenye jeuri ya pesa!!! Aongezewe ulinzi.
Huwezi wafahamu maadui wa JPM Ila yy anawafahamu tutakachoshuhudia ni actions na Matukio.Waziri mkuu mstaafu, bwana John Malecela, amesema ana hofu ya Raisi Magufuli kuhujumiwa na ameitaka serikali imuongezee ulinzi na kwamba isidharau.Mzee Malecela pia amekwenda mbali zaidi kwa kukumbuka jinsi Mwalimu Nyerere alivyotaka kupinduliwa.
Chanzo:JamboLeo
Bora na wakubwa nao sasa waseme,wengine tumebaki tu yetu macho na masikio.
unajua bhana huu uongozi wa kusubiri upangiwe na nec -ccm ni noma sana ! kwa kauli hii ya malecela mkewe akapewa cheo bila hata kuangalia uwezo wake .Hawezi kuwa mshauri wa kitaifa tena baada ya Mtera kumuona hana la maana bora kibajaji. Atuambie hiyo hatari no ipi kwanza na nani anamshuku kufanya hayo. Sio wamelala na mkewe aliyepigwa chini ubunge kama yeye wakiamka ndoto zao wanazitoa hadharani zijadiliwe.
Amen!Tuungane wote kumuombea ulinzi wa MUNGU Mh. RAIS WETU MPENDWA
upo sahii nakuunga mkono yeye ndo kashika dola yote hadi ya ulinzi...lakini wadau kama malecela wanahitajika ili kutoa maoni yao na kufanyiwa kazi.. unaweza ukawa umeshika dola lkn ukawa hujui maadui wako kumbe watu wa nje tunawaona maadui wako...kikubwa tumuunge mkono ameonesha mwanzo mzuri..........Nani amuongezee ulinzi ilihali yeye ndie serikali.si ajiongezee ulinzi.japo mi naamini watanzania tupo pamoja nae.
Kuna wakati itafika Tanzania haitatawalika,vita huku na huko uchochezi wa kidini na umwagaji damu,itakuwa heri Somalia na wakati huo wazungu watachekelea sana huku wakiongeza kasi ya kuiba kila kilichopo na hatimaye vizazi vijavyo vitakuwa hoi bin bin....Na ole wao wathubutu kumdhuru raisi wetu Magufuli japo kwa lolote tu,
Nadhani ndio watajua kwamba Watanzania walikua wanampenda na kumhitaji au lah.
Hawezi kuwa mshauri wa kitaifa tena baada ya Mtera kumuona hana la maana bora kibajaji. Atuambie hiyo hatari no ipi kwanza na nani anamshuku kufanya hayo. Sio wamelala na mkewe aliyepigwa chini ubunge kama yeye wakiamka ndoto zao wanazitoa hadharani zijadiliwe.
Kuna washauri kuhusu Ulinzi kwani hujawahi msikia walinishauri one two three??? Ndio hao tunaowaambia kwa kifupi TISS!Nani amuongezee ulinzi ilihali yeye ndie serikali.si ajiongezee ulinzi.japo mi naamini watanzania tupo pamoja nae.
Kuna wakati itafika Tanzania haitatawalika,vita huku na huko uchochezi wa kidini na umwagaji damu,itakuwa heri Somalia na wakati huo wazungu watachekelea sana huku wakiongeza kasi ya kuiba kila kilichopo na hatimaye vizazi vijavyo vitakuwa hoi bin bin....