Debe tupu hupiga kelele sanaMalecela ni yule aliyewahi kubadili jina na kuitwa jumanne akapewa magari zaidi ya 64 kwa ajili ya kampeni na waarabu. nakumbuka nyerere alimwambia John ukisha kuwa raisi utalipajie hiyo mali. Mwalimu akamwambia Ali akimpitisha Jumanne atampigia mrema debe.
CCM ni dampo kweli hata aongee nani dampo limeoza linatoa funza hakuna wa kumsikiliza.Hana jipya ana hasira ya kunyimwa ulaji yeye na kilango.
Uhuru wa maoni ni ibara namba ngapi vile?
Mtanzania, Malecela ni Mgogo. Ili uweze kuishi Dodoma, inabidi uwe Mvumilivu sana. Wagoggo AKA AGWE, wana kauvimilivu sana. Wao huwa hawana maneno maneno kama sisi/nyinyi. Hata wakoloni hapo walipita tu bila kupata matatizo yoyote. Ukichunguza sana unakubali kuwa Wagogo ni Wazaramo walioenda Dodoma kuchukua Mbuzi wa Arobaini........ mengine yatakuja endelea.
Malecela ni yule aliyewahi kubadili jina na kuitwa jumanne akapewa magari zaidi ya 64 kwa ajili ya kampeni na waarabu. nakumbuka nyerere alimwambia John ukisha kuwa raisi utalipajie hiyo mali. Mwalimu akamwambia Ali akimpitisha Jumanne atampigia mrema debe.
CCM ni dampo kweli hata aongee nani dampo limeoza linatoa funza hakuna wa kumsikiliza.Hana jipya ana hasira ya kunyimwa ulaji yeye na kilango.
Hivi Mkuu bado unaishi zama za kufikirika, hata hili bado unalizungumza, na wala hujui kwa nini Mwalimu alimuondoa Malecela. Tuna safari ndefu.
Malecela amewataka wote wanaolumbana wakome mara moja kwani hayana tija na kwamba vyombo vya habari viendelee kufichua ufisadi badala ya kutumika kutukanana. Amekwepa sana kuzungumzia specific issue japo alipobanwa maswali kuhusu Dowans alisema kwamba hiyo ni sawa na kupiga bakora maiti ya farasi kwa kuwa suala hilo lilimalizwa na Bunge na kwamba kama kuna mwenye hoja tofauti alirudishe bungeni kwa utaratibu unaokubalika na si kulumbana kwenye vyombo vya habari. Akasema mambo ya CCM yamalizwe na CCM, ya Bunge yamalizwe bungeni, ya serikali ichukue hatua kwa yale yaliyo eneo lake, ili kila kitu kiwe na mwisho.. Akakumbushia wabunge waliowahi kutimuliwa chama na hatimaye ubunge wakiwamo Mwakitwange, Choga na Masha. Mengine baadaye, msimulizi yuko bize
John malecela sio msafi hawezi kukemea uchafu. Hataki kufa kwa presha, hawa wazee wa dampo wanajuana vizuri sana.Labda kwasababu sasa wana kambi ila si dhani kama atapenda mishale irudishwe kwake. lets wait and see.
John malecela sio msafi hawezi kukemea uchafu. Hataki kufa kwa presha, hawa wazee wa dampo wanajuana vizuri sana.Labda kwasababu sasa wana kambi ila si dhani kama atapenda mishale irudishwe kwake. lets wait and see.
Sema Malecela ingawa ulishindwa kuonyesha busara wakati wa kuhukumiwa Zitto lakini umekuwa ukimuongoza vema Mkeo(Anna Kilango) Bungeni,pia hukuwahi kulalamika kwa kuhujumiwa mara kadhaa ingawa si vizuri kunyamazia hujuma za kutuletea viongozi wasanii.Mzee Malecela kama kawaida yake atakuwa katikati kujaribu kuweka mambo sawa.
Huyu mzee pamoja na kufanyiwa fouls zote na CCM lakini hakupiga kelele za kuonewa.
Nasikia harufu ya kuanguka kwa Jumanne a.k.a John Malecela, mzee upande wowote atakao simama utamlipukia tu. Kwanza kambi yake ni kambi pinzani na mtandao hivyo akisema lolote kuwakosoa watampoteza tena safari hii bila huruma maana jamaa wamejeruhiwa na mai waifu wake. na akijaribu kuwabeba na kujipendekeza wananchi watamtosa bila huruma amuulize Zitto. Kwa sasa watalaam wa kupima upepo huwa kimya na kujifanya wapo busy na mambo ya kimataifa (wapi Salim).
Mzee funika kombe mwanaharamu apite siasa hizi za leo ni WIZI MTUPU