Malaysian churches fire-bombed.....

Kibunango

Kibunango

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2006
Messages
7,713
Likes
263
Points
180
Kibunango

Kibunango

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2006
7,713 263 180
Malaysian churches fire-bombed ahead of demonstrations

Three churches have been attacked in Malaysia's capital Kuala Lumpur, ahead of planned protests by Muslim groups.

The administrative offices of one church were destroyed by a firebomb attack and one of the other two churches attacked was slightly damaged.

Some Muslim groups are angry at a court decision allowing non-Muslims to use the word Allah to refer to God.

The government relies on the Malay Muslim vote, and will let Muslims march from mosques to churches on Friday.

Prime Minister Najib Razak condemned the church attacks, saying such actions would "destroy our country's harmony".

"The government will take whatever steps it can to prevent such acts," he said.

The controversy stems from a ban on a Catholic newspaper, The Herald, using the word Allah.

The Kuala Lumpur High Court struck down the three-year old ban on use of the word Allah - a ruling now the target of planned demonstrations.

Some major Muslim organisations, including the Islamic political party, PAS, have agreed with the court, saying other Abrahamic religions - Christinaity and Judiasm - may use the word Allah.

But some vocal groups, including the Muslim Youth Movement, Abim, have cast the use of the word Allah as a surreptitious effort on the part of Christians to try to seduce Muslims away from Islam.

Church officials say that although the word Allah originated in Arabic, Malays have used it for centuries to refer generally to God, and Arabic-speaking Christians used it before Islam was founded, says the BBC's religious affairs correspondent Robert Pigott.

More at BBC NEWS
 
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
2,840
Likes
14
Points
135
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
2,840 14 135
Some muslims are just crazy huh
 
October

October

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
2,147
Likes
5
Points
135
October

October

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
2,147 5 135
Heeee!
Devil at work again!!!!!!!!
Hii mijitu khasara tupu!
 
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
5,580
Likes
1,372
Points
280
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
5,580 1,372 280
Kuwaaminisha watu kwa Mungu bila ya kuwapa elimu itakayowawezesha kupambanua mazingira yanayowazunguka na kutambua pia kipi ni kipi ni janga linaloimeng'enyua dunia na wakaazi wake. Kimsingi Allah linamaanisha neno Mungu kwa kishwahili au God kwa kiingereza sii zaidi. Allah au God(Mungu) ni jina la sifa likimaanisha cha kuabudiwa. Sii jina la utambulisho kama ilivyo kwa Yehova, Yesu au dagon, tamuzi na miungu mingineyo.
 
N

Nanu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
1,224
Likes
9
Points
135
N

Nanu

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
1,224 9 135
Yaani, there are people who are really nuts in this world. Allah is God, so why someone should not be allowed to use? Is there anyone who has the copyright or trademark for use of God's name in whatever language?
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Watu humu inaonekana mko new sana na mambo ya dini. Ktk usilamu Allah ni personal name na sio cheo au 'Umungu' . Ndo maana throughout the world hakuna translation ya jina la mungu wa wasilamu. Huu ndio haswa mzizi wa tatizo, kwamba kuna contexts mbili tofauti. Wamalay wasilamu wanajua hili ndio maana wanaona watu wa imani nyingine wana m-mock mungu, lakini to the other side wasio wasilamu wanachukulia neno hilohilo kama 'Cheo'. Ni vyema watu wakaelewa hili kabla ya ku-oversimplify vitu.
 
Ibrah

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Messages
2,720
Likes
57
Points
145
Ibrah

Ibrah

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2007
2,720 57 145
Heeee!
Devil at work again!!!!!!!!.........
Huyo Mungu wa wenzetu mimi ananiachaga hoi, yaani yeye siku zote anatetewa na kupiganmiwa na Wafuasi wake, yeye hasemi wala hasikii. Huyo Mungu anatetewa kama mungu Baali wa wakati wa Eliya. Bila shaka huyo Mungu anayewaongoza kushambulia Makanisa ni Baali.
 
October

October

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
2,147
Likes
5
Points
135
October

October

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
2,147 5 135
Huyo Mungu wa wenzetu mimi ananiachaga hoi, yaani yeye siku zote anatetewa na kupiganmiwa na Wafuasi wake, yeye hasemi wala hasikii. Huyo Mungu anatetewa kama mungu Baali wa wakati wa Eliya. Bila shaka huyo Mungu anayewaongoza kushambulia Makanisa ni Baali.
This is what Mohammad and Allah do to Christians.

Angalia Mkristo akichinjwa kwa sababu ya Imani yake......Kama una Roho ndogo usiangalie.

http://somalisforjesus.blogspot.com/2009/01/mansur-mohamed-sfj-martyr-of-year-2009.html
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
141
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 141 160
Watu humu inaonekana mko new sana na mambo ya dini. Ktk usilamu Allah ni personal name na sio cheo au 'Umungu' . Ndo maana throughout the world hakuna translation ya jina la mungu wa wasilamu. Huu ndio haswa mzizi wa tatizo, kwamba kuna contexts mbili tofauti. Wamalay wasilamu wanajua hili ndio maana wanaona watu wa imani nyingine wana m-mock mungu, lakini to the other side wasio wasilamu wanachukulia neno hilohilo kama 'Cheo'. Ni vyema watu wakaelewa hili kabla ya ku-oversimplify vitu.

Mkuu hii ni ilmu kubwa mukulu. Sijuwi kama utaeleweka.
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Hawa Wamalay ni wakorofi sana na si wastahamilivu kwa watu wa race nyingine na dini nyingine. Na hii tabia inatokana na intolerance wanayofunzwa na dini ya kisilamu.
 
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
2,417
Likes
5
Points
0
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
2,417 5 0
Hawa Wamalay ni wakorofi sana na si wastahamilivu kwa watu wa race nyingine na dini nyingine. Na hii tabia inatokana na intolerance wanayofunzwa na dini ya kisilamu.
Hapa tunataka ushahidi kutoka kwako.
*Sanhedrin 57a . When a Jew murders a gentile ("Cuthean"), there will be no death penalty. What a Jew steals from a gentile he may keep".
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Hapa tunataka ushahidi kutoka kwako.
*Sanhedrin 57a . When a Jew murders a gentile ("Cuthean"), there will be no death penalty. What a Jew steals from a gentile he may keep".
Ustaadh umechanganyikiwa au ?? Hapa mayahudi wanaingiaje ?? Au bado unaweweseka na ile dozi ya hapa??
 
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
2,417
Likes
5
Points
0
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
2,417 5 0
Ustaadh umechanganyikiwa au ?? Hapa mayahudi wanaingiaje ?? Au bado unaweweseka na ile dozi ya hapa??
Tafadhali jibu swali
*Sanhedrin 57a . When a Jew murders a gentile ("Cuthean"), there will be no death penalty. What a Jew steals from a gentile he may keep".
 
Ibrah

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Messages
2,720
Likes
57
Points
145
Ibrah

Ibrah

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2007
2,720 57 145
Tafadhali jibu swali
*Sanhedrin 57a . When a Jew murders a gentile ("Cuthean"), there will be no death penalty. What a Jew steals from a gentile he may keep".
Sideeq, Hebu fafanua juu ya hicho Kitabu; maana ninyi wenzetu mna vitabu ving mnavyodai kuwa ni Injili mfano Injili ya Barnaba ambayo haipo kwenye Biblia wala kwenye Quaran.

Hichi kitabu ulichonukuu kiko wapi? Kweny Biblia au Msahafu au Hadith Sahih?
 
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
2,417
Likes
5
Points
0
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
2,417 5 0
Sideeq, Hebu fafanua juu ya hicho Kitabu; maana ninyi wenzetu mna vitabu ving mnavyodai kuwa ni Injili mfano Injili ya Barnaba ambayo haipo kwenye Biblia wala kwenye Quaran.

Hichi kitabu ulichonukuu kiko wapi? Kweny Biblia au Msahafu au Hadith Sahih?
Yeah, hiyo ni Talmudi mkulu.
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Tafadhali jibu swali
*Sanhedrin 57a . When a Jew murders a gentile ("Cuthean"), there will be no death penalty. What a Jew steals from a gentile he may keep".
Nijibu swali lisilonihusu?? hivi una akili kweli wewe??
 
B

Bull

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2008
Messages
984
Likes
0
Points
0
B

Bull

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2008
984 0 0
Waisla wako busy wanapambana na mabwana zenu wanaoharibu dunia, hawana shida na nyie walokole mliofinikwa akili, mnaotetea ushoga, Nyie mmeshakwisha anyway! nani anashida na nyie?
 
Tumain

Tumain

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2009
Messages
3,158
Likes
11
Points
0
Tumain

Tumain

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2009
3,158 11 0
Waisla wako busy wanapambana na mabwana zenu wanaoharibu dunia, hawana shida na nyie walokole mliofinikwa akili, mnaotetea ushoga, Nyie mmeshakwisha anyway! nani anashida na nyie?
Aisee hii comment nzuri sana...kuna haja gani ya kuhangaika na by product...we are dealing with the source.
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Waisla wako busy wanapambana na mabwana zenu wanaoharibu dunia, hawana shida na nyie walokole mliofinikwa akili, mnaotetea ushoga, Nyie mmeshakwisha anyway! nani anashida na nyie?
technically, wanaitwa wakamua kinyesi maiti a.k.a wajukuu wa ibilisi.
 
Forum statistics

Threads 1,250,868
Members 481,514
Posts 29,748,808