Mwanamme hendi geto, wala hasimami njiani kuuza mwili wake.
Hata wanaume baadhi yao ni Malaya.
Manake umetuongelea sisi wanawake tu.
mwanamme hendi geto, wala hasimami njiani kuuza mwili wake.
Mwanamme hendi geto, wala hasimami njiani kuuza mwili wake.
kwani wanaume siyo malaya?
You are not serious.Ni umalaya na nani Malaya? Malaya ni msichana au mwanamke ambaye anafanya mapenzi na mtu asiyekua si mumemwe wa hahalali. kuna namna tatau za umalaya nazo 1. Malaya wa kwanza ni yule ambaye hutafuta pesa kwa kila njia ya kwa kuuza mwili wake, ikiwa kwenye geto, baa au njiani ( bara barani). 2. Aina ya Malaya mwengine yule anayekaa au naishi na mtu si mumewe wanaishi kama mtu na mume. ama wa 3. Malaya huyu hana mtu maalamu wala hana haja ya pesa yeye akijiwa na hamu ya kutaka kufanya mapenzi atakayempata yeyote atakaye mridhisha siku ile ni sawa kwake.:heh:
Mwanamme hendi geto, wala hasimami njiani kuuza mwili wake.
Hata wanaume baadhi yao ni Malaya.
Manake umetuongelea sisi wanawake tu.
Una uhakika? Nenda oysterbay maeneo ya q bar uone wanaume wanaojiuza.
Madame B (with due respect - you never know maybe we may meet halafu nikasema la kusema), ila kusema ukweli hakuna hakuna malaya mwanaume. By definition, malaya ni yule anae-offer ndude yake ya sex ILI ALIPWE (na siku zote wanaume walazimishwa KUNUNUA). Ila nakubali kuwa kuna wanaume 'dunga dunga', lakini huo udunga dunga wenyewe unakuwa encouraged na wanawake wanaotaka kudungwa - ama ili walipwe pesa au wastareheshwe.
Na wewe nawe! Kuna mwanamke ANANUNUA sex kwa lengo la kununua???
toa ushahidi