Tabu zote za nini unakaa mpaka mbu wanakuuma.
Siku nyingine azima mpira(gari) weka mafuta mida ya weekend utembelee mitaa ya Tabata mida ya mchana.
Wakikuona unatembea ukiwa umekaa kisha unapata mziki taratibu utawaokota nakuhakikishia wengine utawakimbia.
Jioni unavuta simu wanakuja wenyewe.
Uchawi wa mzungu mwanamke haruki.
Hahahaha ila basi tuila wahaya ni watani zangu ndio jadi yao ha ha
Hahahaha ila basi tu
mkuu wewe nawe ni babu yangu nini mbona wacheka hivyo mimi ni kanda maalumuHahahaha ila basi tu
Shemeji yako ni msukuma wa Lamadi. Jirani tu palemkuu wewe nawe ni babu yangu nini mbona wacheka hivyo mimi ni kanda maalumu
U motherfu........@@@@ wewe utakua una UKIMWIYou can't be serious my dear
Ijumaa niliamua nikaunguze wallet maeneo ya The great pale barakuda. Bahati mbaya siku hiyo sikua na kampani hivyo nikajipanga kupata mlimbwende mmoja ambaye nitamlisha, nitamnywesha na nitaenda kumpa utamu.
Baada ya kufika sehemu tajwa hapo juu, nikakutana na jamaa mmoja ambaye tulisoma o level pamoja. Hivyo nikawa nimepata kampani ya kula gambe maana walikua wapo kama watatu hivi wote wana.
Gambe lilipokolea si ndo nikaamua kujitafutia malaya mmoja nikafanye naye mambo japo kwa usiku mmoja.
Nilipomgusa wa kwanza bei aliyonitajia, nikadhani labda sio muuzaji. Nikaamua kuachana naye maana palikua na wavaa nusu uchi wengi.
Nikamfuata wa pili, bwana wee, bei ni zile zile. Yaani kuanzia saa nane mpaka saa kumi mtu anakuambia umpe 70000. Nikaamua nimfuate wa tatu, bei ni ile ile.
Nikaona nihame bar. Nikaenda 40 40. Kugusa bado bei ni ile ile. Hapo ni saa tisa bado nahangaika na malaya.
Nilipoona bei imenishinda, nikaamua kusepa kwenda kulala na 30000 niliyokua nimepanga kumpa malaya nikaamka na supu na chenji ikabaki ya kutosha.
Hakika tabata balaaaaaa kwa bei za malaya
ha ha kweli aisee tunapita pale tunapoelekea tarime good oneShemeji yako ni msukuma wa Lamadi. Jirani tu pale
IlΓ kuna wanaume wana mioyo migumu. Badala ya kupata ashki nimepanda.......!!
aIlΓ kuna wanaume wana mioyo migumu. Badala ya kupata ashki nimepanda.......!!
Hii comment kama haijakamilika.IlΓ kuna wanaume wana mioyo migumu. Badala ya kupata ashki nimepanda.......!!
Kweli haijakamilika! Umewaona? Umebaini kitu gani mdogo wangu?Hii comment kama haijakamilika.
Lakini pia imenisaidia kuangalia hizo picha za hao waliopata ajali kazini.
πππππKweli haijakamilika! Umewaona? Umebaini kitu gani mdogo wangu?
Kausha kaka nashindwa kuandika.Umecheka badala ya kunijibu!!
[emoji1666]Kausha kaka nashindwa kuandika.