Kaka na wewe unaulinganisha uwanja wetu wa mwewe na viwanja vya watu kweli!!??, Niliwahi kutua na mgeni wangu hapo wakati ndio tu nakaribia kutua akaniuliza kama kuna Simba au Twiga alipoona minazi iliyojazana kule kiwalani wakati tukiwa angani.
Si kweli hata kidogo, usiukandie uwanja wetu tunaoutumia kila siku kwa kiasi hiki. Kuwa na nidhamu.