Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Huu ndio mda wa kutia kimoja then kinakatikia humo humo
Jamanii mpira una maajabu yake...!!! Zamaulid Ta Muganyizi
Bado dk 5 game iishe
Tupeni feedback mpira ngapi ngapi mpaka sasa
Mkwasa amtoe himid mao aingie Salum Telela
Ahsante.
Kuna dalili ya kulinda goli na kufunga katika dk hizi kumi zilizobaki...!!? Nimejumlisha na za nyongeza...!!