Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,012
- 2,446
Nani katuroga?
Nani katuroga?
Msuva na ngassa so wakabaji wazuri mkuu.
Hapa tunahitaji mtu WA kukaba na kushambulia.
Kwa sofa hizo Bocco kawazidi wore.
Tunapigwa hii game.
... natamani mpira uishe
Umefika muda wachezaji kupigwa bakora
Bocco ana jazba sana siku ya leo.