Baada ya Mutharika anafuata Kikwete amini usiamini nitatoa sababu baadae.
Ndo zenu magamba kutumia vitisho ili zahma isiwakuteWanaoanzisha move hiyo kule Malawi ungewafahamu ungebadili comment yako immediately ...lol
Si walewale wahuni umesahau tena...Wanaoanzisha move hiyo kule Malawi ungewafahamu ungebadili comment yako immediately ...lol
Ndo zenu magamba kutumia vitisho ili zahma isiwakute
Waambie hao vibaraka waje Tanzania watununue na sisi naona wanafaida kama waliwanunua wahuni wa Misri na Libya na Tunisia na Malawi kwanini isiwe Tanzania kwani sisi ni exceptional.tatizo lenu mnafikir kila mapinduzi ni faida..wengine wamenunuliwa na vibaraka..
Waambie hao vibaraka waje Tanzania watununue na sisi naona wanafaida kama waliwanunua wahuni wa Misri na Libya na Tunisia na Malawi kwanini isiwe Tanzania kwani sisi ni exceptional.
Waambie hao vibaraka waje Tanzania watununue na sisi naona wanafaida kama waliwanunua wahuni wa Misri na Libya na Tunisia na Malawi kwanini isiwe Tanzania kwani sisi ni exceptional.

Ndo zenu magamba kutumia vitisho ili zahma isiwakute

Waambie hao vibaraka waje Tanzania watununue na sisi naona wanafaida kama waliwanunua wahuni wa Misri na Libya na Tunisia na Malawi kwanini isiwe Tanzania kwani sisi ni exceptional.
Gazeti la jana la Mwananchi la jana, liliripoti kuwa wiki ijayo kutakuwa na maandamano makubwa kukamilisha mpango wa kumuondoa Rais Mutharika madarakani kwa nguvu ya umma. Nafurahia hatua hii kwa kuwa naamini itatuambukiza na sisi pia kuchukua hatua kwa viongozi ambao kiukweli hakuna wanachofanya kutuondolea hali ngumu ya maisha. Hali ya serikali yetu na mwenendo wake, imetufanya wengine tuathirike kisaikolojia kwa kweli.

tatizo lenu mnafikir kila mapinduzi ni faida..wengine wamenunuliwa na vibaraka..

Chama ambacho hakiwezi kushindana kwenye uchaguzi na badala yake kinaota kupata madaraka kwa njia za mkato na haramu ni chama cha kigaidi, chama cha kihaini na hakina sifa ya kuendelea kuwepo kwenye ushindani wa kisiasa!