Azipa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 1,069
- 322
Mimi naamini hata wakati ule Kamuzu Banda alipomletea Nyerere ramani halafu Nyerere akaishia kumkejeli bila kutoa wazo lolote, ingekuwa ni sasa hivi na JF ipo ninaamini watu wangeshuka na Nyerere bila kumuonea haya kama wanavyoshuka na JK sasa.
Wasomi wa siku hizi wanachallenge kubwa sana! Tofauti na zamani ilikuwa lazima uende maktaba au uwe na vitabu kwenye study room yako, urambe kidole kupekechua kurasa, siku hizi una-access info popote pale na wakati wowote ule
Natena unacompare na ku-contrast notes za waandishi mbalimbali. They say "if it's not on google it doesn't exist". Google imerahisisha ku-share knowledge. Tafakari kila mtu angekuwa na blog yake ana-share chochote anachojua!
Angalia Nyerere hakuwa na msimamo thabiti kwenye suala la umiliki wa ziwa Nyasa. Mwanzo alisema ni mali ya Wamalawi na Kawawa aka-echo cuz that was what Kawawa does best to relay Nyerere ideas unquestionably
Nyerere alipokuwa anahutubia shule fulani huko Iringa ndo akabadili msimamo na kusema mpaka kumbe uliamishwa kumbe ushawahi kuwa katikati
We have people in here sharing wonderful knowledge. JF is a site I can't do without thesedays. Binadamu tuna kasumba of wanting to establish that "you heard it first from me" and that's what makes information dissemination very easy and fast