Malawi kumbe masikini hivi!

Malawi kumbe masikini hivi!

Katibu Mkuu wa wizara ya elimu, ambaye ni dada yake mheshimiwa Rais, huko nyuma alitimuliwa kazi na taasisi hiyo ya Madonna kwa tuhuma za ubadhirifu. Hivyo wengi wanaamini kuwa hilo ndilo chimbuko la uhasama kati ya wizara hiyo na mwimbaji nyota huyo. Lakini taasisi yake inafanya kazi ambayo si ya kubeza.
 
Fyuu no wonder anaichokoza Tz anatafuta wa kumtupia lawama kwa mcharuko wake mwenyewe
 
Back
Top Bottom