meghafranc
New Member
- Nov 13, 2012
- 4
- 1
Here in tz We have been taught that a part of lake nyasa belongs to tz since we were in primary school so what they want to tell us with their whinings?
How about the Moslems' statement in Malawi, what is their standing on these issues?
How about the Moslems' statement in Malawi, what is their standing on these issues?
Wamalawi sijui wameumbwaje, they cant even see a simple logic. Hebu tujikumbushe, ni nchi gani duniani ambapo kuna mpaka aina ya huu unaodaiwa na wamalawi ambapo nchi fulani hairuhusiwi kugusa maji yapakanayo na nchi hiyo?
Kwa uelewa wetu mdogo ni kwamba wametumwa na wanataka kuleta chokochoko..! Wanadanganywa na USA ile gas ikiichaisha tu USA hao, wanakwea pipa kwenda kwao. Wanadhani itakuwa ni vita ya mwaka mmoja na kwamba wakishinda (just in case) ndo utakuwa mwisho wa vita.Mkuu hawa jamaa wanataka kujiletea matatizo ya bure - hawatumii logic au teseme common sense, ukiangalia mpaka wa ziwa hilo kati ya Malawi na Msumbiji huko katikati, nasikia zamani ulikuwa unapita kandokando ya ziwa lakini Wareno wakaja kuelewana na Waingereza ukawekwa katikati.
Kwa upande wa Tanzania wakati wa utawala ya Ujerumani kuna ramani inaonyesha mpaka huko katikati hata wakati fulani Waigereza walionyesha mpaka ukiwa katikati na ziwa lenyewe lilikuwa linajulikana kama Nyasa.
Waigereza na uzabazabina wao walijua Tanganyika sio koloni lao, walipewa kuingoza Tanganyika kwa muda lakini Malawi lilikuwa koloni lao, basi ndio wakafanya mbinu za kubadirisha mpaka in favour of Malawi, haya mambo ya mkataba sijuhi wa Hellig..? naonaga ni kichekesho mbona wajerumani wenyewe ramani zao zilionyesha mpaka huko katikati ya ziwa, kama wangekuwa wanaheshimu mkataba huo kwa nini ziwa lilikuwa linagawanywa kati kati??
Mbona kuna sheria zinazo tumika katika mipaka ya bahari, kila nchi iliyo pakana na bahari wanaruhusiwa kumiliki kilometer fulani kutoka ufukweni mpaka kwenye International waters, itakuwa ziwa bwana!
Spot on mkuu, ni rahisi sana kwa nchi yoyote duniani kuanzisha vita lakini si rahsi kutabiri vitakwisha siku gani, and in whose favour!Kwa uelewa wetu mdogo ni kwamba wametumwa na wanataka kuleta chokochoko..! Wanadanganywa na USA ile gas ikiichaisha tu USA hao, wanakwea pipa kwenda kwao. Wanadhani itakuwa ni vita ya mwaka mmoja na kwamba wakishinda (just in case) ndo utakuwa mwisho wa vita.
Badenago goguhaya!!!How about the Moslems' statement in Malawi, what is their standing on these issues?
Baada ya hapo, Nyerere akateremsha brigade ya JW na Kamuzu akaufyata mazimaYou Malawians, it is more of the advantage for the lake to belong to Tanzania and Malawi than if it could only belong to Malawi, Try to imagine how can you control water waves along the shore? remember why Banda the former Mzee went silent in the late 1970s Mwalimu Nyerere told him that " any wave hinting Tanzania soil/land will have to be paid, how much will you be able to pay? Remember even the rivers feeding the lake comes from Tanzania. It is sad that church people are becoming greed, I could no to expect church people to come up with such statement. The lake will continue to belong to us all and that is what used to be even prior to coming of the whites who made the boarders.