Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

Chadema ni mtambo wa Chuki nchini Tanzania!
Imejaa watu wenye kulazimisha jamii yote iwakubali.
Kwa hiyo hii ni CHAGGA-DOMO!
 
Tatizo ni Shoo aliwaaminisha CHADEMA kuwa KKKT ni tawi la CHADEMA. Mkanyang'anye V8 mliyompa kama takrima kwa sapoti haramu aliyowapa. Malasusa amekataa kutumika kisiasa.
Siku Malasusa akijikuta pekee yake kanisani ndiyo atajua peoples power na hasira za watanzania
 
Back
Top Bottom