Malaria Sugu ni dawa ya stress | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malaria Sugu ni dawa ya stress

Discussion in 'JF Doctor' started by Saharavoice, Jan 11, 2012.

 1. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,585
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Siku ukijisikia una ma stress yako mengi, au umechoka sana, ingia humu kabla ya kulala, tafuta thread yoyote ya Malaria Sugu isome, hakika stress zako zote zinaisha na unalala unono. nimeshajaribu mara nyingi, it works.
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  umerudi kwa ID nyingine baada ya kujitangaza kuwa umepata ajali
   
 3. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,585
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wewe humfahamu malaria sugu, soma post zake uondoe stress.
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Tatizo lake maralia inampandaga kichwani ndo tatizo lake
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Kakutuma umuanzishie thread huku?
  Maana hata ulipoiweka inaonyesha usugu wa malaria.
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  halafu kumbe malaria sugu mwanamke? Kama faiza foxy vile na miushungi yao. Totauti zao faiza foxy katokea Lamu na malaria sugu katokea Kismayu
   
 7. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,161
  Likes Received: 3,274
  Trophy Points: 280
  heri ya mwaka moya mkuu SV
   
 8. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mods ondoeni huu upupu huku, pelekeni jukwaa husika. Au mmelala?
   
 9. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,585
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ushauri wa tiba unakaa jukwaa gani?
   
 10. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,585
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Namshukuru Mungu tumeuona tena. heri yako pia.
  zingatia ushauri huu wa kitabibu mwaka huu ili uingie na mwaka ujao.
   
 11. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani imethibitishwa kitaalam au unataka kuwadanganya watu.
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Hata hii thread inaondoa stress! Nitazingatia ushauri wako Rev.
   
 13. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,124
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180

  To me: Malaria Sugu = Psychopath!
   
Loading...