Msema hovyo
Senior Member
- Jul 3, 2011
- 195
- 86
Akija Mizengo Pinda humu ajue kuwa mama Anne Semamba Makinda wa kumkingia kifua hayupo hapa! Anatakiwa asimame kwa miguu yake!mmh umejichokea kaoge
Duh, ninaamini uchafu wangu utatakata kwa maji kuliko CCM ambao hata kwa kuvua gamba bado wamebaki wachafu. Mnalo hilo!mmh umejichokea kaoge
hapo umenena LordJusticeAkija Mizengo Pinda humu ajue kuwa mama Anne Semamba Makinda wa kumkingia kifua hayupo hapa! Anatakiwa asimame kwa miguu yake!
Sasa anatapatapa kuomba msaada wa vigogo wa CCM baada ya approach yake ya umakamba ya kusema hovyo kama aliyekunywa gongo kugonga mwamba. Wanachadema wamekuwa daima wakisimama imara kuzikabili hoja zake kiasi cha kuamua kuomba msaada kwa wakubwa wake.
Kama wanachadema tunawasubiri kwa hamu hao wakubwa wako ili tuwape live uozo wao.
Hata malaria sugu mwenyewe amekiri kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA kule bungeni ni sawa na wabunge 10 wa CCM. Kwa hapa JF takwimu ni kama hizi ulizoleta. CCM must go.Zama hizi nani anazungumzia CCM? yahani kama radio ni zile zisizo na FM na kama tv basi ni yenye tumbo. Hata wakija wote wanamagamba hawaweziiii. Tena mtu mmoja wa JF/CDM ni sawa na watu 1,000 wanamagamba.
Watu wenyewe ni vigeugeu si mchezo! Nape alidai kwamba mafisadi walipewa 90 kujiondoa kwenye chama la sivyo wataondolewa, baada ya muda "akajivua gamba" mchana kweupeeee akakanusha! CCM is dying slowly!Hata malaria sugu mwenyewe amekiri kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA kule bungeni ni sawa na wabunge 10 wa CCM. Kwa hapa JF takwimu ni kama hizi ulizoleta. CCM must go.
Nimeipenda tafsiri yako ya kujivua gambaWatu wenyewe ni vigeugeu si mchezo! Nape alidai kwamba mafisadi walipewa 90 kujiondoa kwenye chama la sivyo wataondolewa, baada ya muda "akajivua gamba" mchana kweupeeee akakanusha! CCM is dying slowly!
Ninakua na wasiwasi ninaposoma thread zako na nikitizama ID yako sijui kwa nini?mulete mkama, nape, chiligati, msekwa na kikwete waje wajibu hoja hapa. kwanini nchi ipo hovyo hovy kama vile haina viongozi?
Huyo MS anawawasheni sana!Sasa anatapatapa kuomba msaada wa vigogo wa CCM baada ya approach yake ya umakamba ya kusema hovyo kama aliyekunywa gongo kugonga mwamba. Wanachadema wamekuwa daima wakisimama imara kuzikabili hoja zake kiasi cha kuamua kuomba msaada kwa wakubwa wake.
Kama wanachadema tunawasubiri kwa hamu hao wakubwa wako ili tuwape live uozo wao.
Huyo MS anawawasheni sana!
Hao vijana wako, sometime ka wanahitaji kukunwa vile...!Tafadhali bw Shemegi!
Hao vijana wako, sometime ka wanahitaji kukunwa vile...!
Watu wenyewe ni vigeugeu si mchezo! Nape alidai kwamba mafisadi walipewa 90 kujiondoa kwenye chama la sivyo wataondolewa, baada ya muda "akajivua gamba" mchana kweupeeee akakanusha! CCM is dying slowly!
Huyo MS anawawasheni sana!